Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,120
- 190,521
😂😂😂😂😂 jichanganye tu,,,hapo ndipo utapojua tofauti ya mafuta ya chemli na ya ndege ingawa yote ni kerosene!Nilishaapa siwezi kumpa
😂😂😂😂😂 jichanganye tu,,,hapo ndipo utapojua tofauti ya mafuta ya chemli na ya ndege ingawa yote ni kerosene!Nilishaapa siwezi kumpa
jichanganye tu,,,hapo ndipo utapojua tofauti ya mafuta ya chemli na ya ndege ingawa yote ni kerosene!


never, nimeamua kujipa mateso na nitakaa nayo hadi kufa. Nikiona yuko na mtu naumia kishenzi, siku akioa nadhani nitalazwa ila bado simpi.hahaaaa, huyo noma na anakuchana ile kukuboa tu sababu umemkataa,ila kimoyoni anakukubali mpk akaamua kukutokea, wakaka bwana.Hahah hapo umkute bro wangu msela kinyama, atakuchana kinoma wala hakurembei. Lazma ujione kinyesi tu hata ukiwa mzuri ka beyonce. Kesho mkikutana unamsalimia kwa adabu kinoma
Hilo atalikataa tu, mwanamke ana hulka hio ya kukataa ukweli unaomgusa...Ila kimsingi tukisema tuokote idadi ya wanawake 15 au 20 tu toka hapa jf kama sample. Ukawawekea choice ya Mo dewji na Linex halafu ukawapa uhuru wa kuchagua yupi wa kudate nae above 50% wataangukia kwa Mo Dewji!Tufanye assumption ndogo tu... Hivi unafikiri kwa mfano, ni wanawake wangapi wanaweza kutoa hiyo kauli kwa mtu mwenye pesa? - assume mtoto wa Mengi hapo halafu unamwambia wewe sio type yangu... unadhani ni kitu ambacho ni possible and practical???
hahaaa, hili la keyboard tu, ameridhiaHahah we mpende kwa uhalisia bana sio penzi liishie kwenye keyboard tu😂😂😂 hilo domo ndio fashen yake
Anakupaka tu maana si umejiona cake! Yani lazma uwe mdogo kama ni nyodo lazma utafyata tu af mnaendelea kuheshimiana.hahaaaa, huyo noma na anakuchana ile kukuboa tu sababu umemkataa,ila kimoyoni anakukubali mpk akaamua kukutokea, wakaka bwana.
😂😂😂😂😂 kwa hio mnapendana ki software zaidi! Online tu.hahaaa, hili la keyboard tu, ameridhia
dah, kuna mtu alishawahi kunipaka, ila sikumjibu vibaya basi tu sijui alikua amelewa yule😡Anakupaka tu maana si umejiona cake! Yani lazma uwe mdogo kama ni nyodo lazma utafyata tu af mnaendelea kuheshimiana.
dooh, eeeeh ndiyoooo😂😂😂😂😂 kwa hio mnapendana ki software zaidi! Online tu.
Ni kweli takwimu zako ziko sawa lakini una uhakika wa nani ataangukia kwa Linex na nani ataangukia kwa Mo?Hilo atalikataa tu, mwanamke ana hulka hio ya kukataa ukweli unaomgusa...Ila kimsingi tukisema tuokote idadi ya wanawake 15 au 20 tu toka hapa jf kama sample. Ukawawekea choice ya Mo dewji na Linex halafu ukawapa uhuru wa kuchagua yupi wa kudate nae above 50% wataangukia kwa Mo Dewji!
Usidanganyike na busara ya mtandaoni. Wakizima data watu wako tofauti sana na wanayoyaandika.Nimelog in ili nikupe like kwa kuandika busara kiasi hiki,kumbe still kuna wadada wana busara kama wewe aisee!!!
Hahah huyo mwamba muhuni kweli, hizo ndio style za bro wangu kabisa yani...jamaa ni msela kinyama akikuchana lazma ujione mavi! Yani mademu wenye nyodo wanakomaga kuringa yani af wanakuwa marafiki zake sana after sometime...wakipita utaskia mudy mamboo!!!😂😂😂🤣🤣🤣🤣 nakumbuka tulikua mahali jamaa akawa anavuta fegi, dada mmoja akamwambia kaka moshi huo...jamaa alimshushia matusi akammalizia na “ukimwi unaukatikia mauno afu unanibania pua kaka moshiii (huku kabana pua)”, kila mtu alicheka aiseee
mtu kama huyu ukisema umjibu namna hii utafurahi na roho yako
Ndo ukweli wenyewe lakini.. Pesa pesa pesa..Hilo atalikataa tu, mwanamke ana hulka hio ya kukataa ukweli unaomgusa...Ila kimsingi tukisema tuokote idadi ya wanawake 15 au 20 tu toka hapa jf kama sample. Ukawawekea choice ya Mo dewji na Linex halafu ukawapa uhuru wa kuchagua yupi wa kudate nae above 50% wataangukia kwa Mo Dewji!
Hapo ndipo fumbo lilipo, na ndio itakuwa base ya facts nilizotoa awali kama assumptions. Majibu yatatokana na choices!Ni kweli takwimu zako ziko sawa lakini una uhakika wa nani ataangukia kwa Linex na nani ataangukia kwa Mo?
Jinga kabisa, sasa kumbe unampenda tayari ila unajitesa yani wanawake bana ila ipo siku utajikuta umempa tu. Naimani😂😂😂never, nimeamua kujipa mateso na nitakaa nayo hadi kufa. Nikiona yuko na mtu naumia kishenzi, siku akioa nadhani nitalazwa ila bado simpi.
Hahah ulimletea kali sizo nini? Saingine unakuta demu wa kitaa amekulia maisha magumu af analeta pozi...Unamcheki tu huku unasema hiiiii😂😂😂dah, kuna mtu alishawahi kunipaka, ila sikumjibu vibaya basi tu sijui alikua amelewa yule😡
Wala sikumfanyia kitu na wala simfahamu eti,aliamua tu kunipaka.hahaaaHahah ulimletea kali sizo nini? Saingine unakuta demu wa kitaa amekulia maisha magumu af analeta pozi...Unamcheki tu huku unasema hiiiii😂😂😂