You are not my type

You are not my type

Wanaume na wanawake, let's say umetongoza au unampenda mtu yeye akakujibu 'You are not my type' au ukasikia anamwambia mtu kuwa you are not his/her type utalipokea vipi?

Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.

Kwenye mapenzi kila mtu kipo anachopenda iwe ni katika mwonekano au personality kiujumla. Wapo wanaume wanapenda chubby girls, wengine wanapenda English figure, wapo watu wanapenda mtu mchangamfu, anayeweza kufanya acheke muda wote lakini wengine wanapenda makauzu, kuona jino lake mwaka mpya hadi mwaka mpya. Kwa hiyo akikutana na wewe upo kinyume cha hapo ni kwamba wewe si type yake.

Japo si busara kumchana mtu live kuwa 'wewe si type yangu' lakini haina haja ya kukasirika, kuumia na kujenga chuki ukisikia kitu kama hicho. Maana wengine wakiambiwa hivyo wanaanza kuchambua demu mwenyewe miguu yote ya kushoto, sura kama anaramba ndimu anawezaje kutamka maneno kama hayo? Relax, kunywa maji then tafuta wa kufanana na wewe, yupo mahali anakusubiri.

Pengine kilichomfanya Diana asikupende ndio hichohicho kitakachomfanya Mwajuma asilale kwaajili yako.

Thanks
Mkatae mtu bila kumwachia maumivu. Labda awe king'ang'anizi.
Kuna njia nyingi za kumkataa. Kutojibu au kupokea simu zake kwa mfano.
 
kwa sababu hunijui ndio maana unasema hivi
Kwamba una msimamo kuliko wale wanaoapa mbele ya kasisi ila baada ya muda wanajiachia mahotelini wakivunja kiapo bila aibu.

Personally, sijawahi kumchukulia serious mwanamke when it comes to swala la msimamo. Women were made to be freaked out by men. Nikikushindwa mimi kwa kuwa umekaza kuna mwenzangu atakukula kiulaini tu thats what normally happens
 
Kile ni kiapo tu mtu anasoma si lazima awe anatamka kutoka moyoni mwake....speaking about kiapo hivi kumbe ni wanawake tu ndio huwa wanaapa eeh? Mimi nilidhani wanaume pia huwa wanaapa maana wao ndio vinara wa usaliti. Hapo mwisho umemaliza vizuri kwamba kumbe inawezekana kushindwa, kwani mimi nimesema sitampa mwanaume yeyote? Nitawapa wengine Ila yeye sitompa.
 
Kwamba una msimamo kuliko wale wanaoapa mbele ya kasisi ila baada ya muda wanajiachia mahotelini wakivunja kiapo bila aibu.

Personally, sijawahi kumchukulia serious mwanamke when it comes to swala la msimamo. Women were made to be freaked out by men. Nikikushindwa mimi kwa kuwa umekaza kuna mwenzangu atakukula kiulaini tu thats what normally happens
Ulichokisema ndio huwa kinaitwa bitter truth au sio ?
 
Binaadamu wote tumeubwa kwa mfano wa mungu,, so unaposema sio type yako, inamaana unakosoa uumbaji wa mungu,,, that not fair kbsa,,,
 
Type sio lazima ihusishe uumbaji, zingine huwa ni juhudi binafsi
 
Wanaume na wanawake, let's say umetongoza au unampenda mtu yeye akakujibu 'You are not my type' au ukasikia anamwambia mtu kuwa you are not his/her type utalipokea vipi?

Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.

Kwenye mapenzi kila mtu kipo anachopenda iwe ni katika mwonekano au personality kiujumla. Wapo wanaume wanapenda chubby girls, wengine wanapenda English figure, wapo watu wanapenda mtu mchangamfu, anayeweza kufanya acheke muda wote lakini wengine wanapenda makauzu, kuona jino lake mwaka mpya hadi mwaka mpya. Kwa hiyo akikutana na wewe upo kinyume cha hapo ni kwamba wewe si type yake.

Japo si busara kumchana mtu live kuwa 'wewe si type yangu' lakini haina haja ya kukasirika, kuumia na kujenga chuki ukisikia kitu kama hicho. Maana wengine wakiambiwa hivyo wanaanza kuchambua demu mwenyewe miguu yote ya kushoto, sura kama anaramba ndimu anawezaje kutamka maneno kama hayo? Relax, kunywa maji then tafuta wa kufanana na wewe, yupo mahali anakusubiri.

Pengine kilichomfanya Diana asikupende ndio hichohicho kitakachomfanya Mwajuma asilale kwaajili yako.

Thanks
Lakin kuna maneno ya kumwambia mtu si lazima useme neno ilo mtu mwenye busara anawwza kusema labda na mtu tayari au hapana siwezi kuwa nawe neno rahisi sana siyo kutoa neno ambalo kiuhalisia linaonekana kama kejeli flani
 
Ni kweli mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom