Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,554
bora umpotezee kimya kimya. ...
siku za usoni unakutana naye ndio unavutiwa naye. ...utashindwa kurudisha maneno nyuma. ....
bora umpotezee kimya kimya. ...
siku za usoni unakutana naye ndio unavutiwa naye. ...utashindwa kurudisha maneno nyuma. ....
Ndio vizuri, sio mtu anakomaa kuuliza kama vile anakudai vileNikishakupa ujumbe ukajibu no, ninakuacha naendelea na mishe zangu, ila ndiyo umeshapewa ujumbe. Nabaki kuchombeza ndogo ndogo huku nikijipima.
Kama kweli no yako ilikuwa ya kweli nitajua, ila naweka mazingira wazi ili ukibadili mawazo usione aibu kuja.
Kazi kweli kweli.Kiukweli kaka zangu mnakutana na changamoto sana, ningekuwa mwanaume mimi sidhani kama hata ningetongoza
Hilo jibu inabidi liwe moyoni tu kwamba huyu mtu hana vigezo hitajika, ila unamtafutia jibu lingine lolote ambalo hatoumia kuliskia, tena ukimpata kaka amejipindia ukamjibu hivo, atakushushua hadharani mpk ujute, utaskia "wewe Dada mwenyewe unahadhi gani wewe na pua yako kubwa kama umeweka tonge la ugali, miguu imefanyaje fanyaje dooh, aibuuuHahaha ila inataka moyo wa chuma kumjibu mtu hivi

Kuna mtu kajibu kwa matusi yalio vuruga nyongo yako kabsaWanaume na wanawake, let's say umetongoza au unampenda mtu yeye akakujibu 'You are not my type' au ukasikia anamwambia mtu kuwa you are not his/her type utalipokea vipi?
Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.
Kwenye mapenzi kila mtu kipo anachopenda iwe ni katika mwonekano au personality kiujumla. Wapo wanaume wanapenda chubby girls, wengine wanapenda English figure, wapo watu wanapenda mtu mchangamfu, anayeweza kufanya acheke muda wote lakini wengine wanapenda makauzu, kuona jino lake mwaka mpya hadi mwaka mpya. Kwa hiyo akikutana na wewe upo kinyume cha hapo ni kwamba wewe si type yake.
Japo si busara kumchana mtu live kuwa 'wewe si type yangu' lakini haina haja ya kukasirika, kuumia na kujenga chuki ukisikia kitu kama hicho. Maana wengine wakiambiwa hivyo wanaanza kuchambua demu mwenyewe miguu yote ya kushoto, sura kama anaramba ndimu anawezaje kutamka maneno kama hayo? Relax, kunywa maji then tafuta wa kufanana na wewe, yupo mahali anakusubiri.
Pengine kilichomfanya Diana asikupende ndio hichohicho kitakachomfanya Mwajuma asilale kwaajili yako.
Thanks
Hawamaanishagi wanachojibu hawa.
Picchu inavuliwa kirahisi namna hiyo



Hilo jibu inabidi liwe moyoni tu kwamba huyu mtu hana vigezo hitajika, ila unamtafutia jibu lingine lolote ambalo hatoumia kuliskia, tena ukimpata kaka amejipindia ukamjibu hivo, atakushushua hadharani mpk ujute, utaskia "wewe Dada mwenyewe unahadhi gani wewe na pua yako kubwa kama umeweka tonge la ugali, miguu imefanyaje fanyaje dooh, aibuuu![]()
![]()
![]()



umenikumbusha ile pua inajaa kwenye screenShukrani sana leo nimeijua jinsia yako ilikuwa inanipa shida sana![]()
HATUENDANI ina maana nyingi. Tatizo mnaangalia upande mmoja kuwa alieambiwa ni inferior kwenye Jambo moja au jingine. Mnaweza msiendane tabia,Imani,malengo,utamaduni etc etc na haya unaweza kuyagundua kabla au mkiwa kwenye mahusiano.Siku zinakuja ambapo utatamani muendane wakati huo na yeye atakuwa amepata wakuendana nae.
Haha ni kweli mkuuBiblia inasema wote tuliumbwa kwa udongo sasa ukiniambia mimi sio type yako.. nabaki na maswali au mwenzangu uliumbwa na zege..
any way if you can't love someone at least don't hurt them,, iwe kwa nia mbaya au nzuri I'm not your type hii neno linaumiza sana bora utumie busara mwambie mtu walau sina hisia na wewe
Sio mara zote. Sikatai kuna wakati huwa tunapima upepo ila wakati mwingine ukiambiwa no ni no kweli
Haswaa hiyo ndio point yanguHATUENDANI ina maana nyingi. Tatizo mnaangalia upande mmoja kuwa alieambiwa ni inferior kwenye Jambo moja au jingine. Mnaweza msiendane tabia,Imani,malengo,utamaduni etc etc na haya unaweza kuyagundua kabla au mkiwa kwenye mahusiano.
Yaani ukiambiwa "siyo type yangu" siku inaharibika, kila kitu hakiendi unawaza unajiona hufai au labda unakasoro isiyovumilika!! Hapana kwakweli.ni ubinadamu tu..kutumia maneno mazuri kama mtu sio wa 'viwango' vyako..
.kumuambia mtu sio type yake mie naona ni dharau!...
unamuacha mtu feeling inadequate....
..anawaza saa zote hao wa type yako sijui wakoje? lol