Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,809
- 40,560
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama namuona vile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakumbuka tulikua mahali jamaa akawa anavuta fegi, dada mmoja akamwambia kaka moshi huo...[emoji23][emoji23] jamaa alimshushia matusi akammalizia na “ukimwi unaukatikia mauno afu unanibania pua kaka moshiii (huku kabana pua)”, kila mtu alicheka aiseee
mtu kama huyu ukisema umjibu namna hii utafurahi na roho yako