kuntaitunai
Senior Member
- Mar 7, 2019
- 106
- 193
Absolutely pal.Wanapenda "Ready made". You did the ryt thing, huyo anawaka tamaa nd yo never know what she is capable of doing
Absolutely pal.Wanapenda "Ready made". You did the ryt thing, huyo anawaka tamaa nd yo never know what she is capable of doing

Unajikuta umeenea vumbi ghafla hata kama umetoka kuoga.Hahaha unatamani ardhi ipasuke au bahari itokee ikumeze
That's not always the case. Mimi kuna mkaka miaka ya nyuma alikuwaga ananitaka na mimi nilitokea kumzoea na nikampenda vile tu alikuwa lakini sikuweza kuwa naye kwa vile nilikuwa nipo kwenye relationship na mtu mwingine lakini yeye alichukulia nimemkataa kwa vile hana pesa. Sasa hivi yuko vizuri financially na bado anadai ananitaka ila pia siwezi kuwa naye kwa sababu nadhani anataka anikomoe tu. Unaweza kuona ni jinsi gani hizi generalization zinatuumizaWanapenda "Ready made". You did the ryt thing, huyo anawaka tamaa nd yo never know what she is capable of doing
Point yako iko timamu, ila tu ktk mfano wako hapo ndo napata mkanganyiko kidogo."I'm sorry your not my type.... please don feel sad i'm trying to be honesty"
"For your information, your not my type so don waste your energy and get out of my face"
Hapa nadhan kinacho matter ni 'tone' ya kuufikisha huo ujumbe lakini ni neno zuri sababu mtu anakua mkweli kuliko kukupotezea muda, kila mtu ana vigezo vyake vya ampendae sasa akikwambia 'your not my type' haimaanishi wewe ni mbaya au huna pesa wala hadhi, anamaanisha huna vigezo vile ANAVYOVITAKA YEYE.
Mf; Wengi wanamtamani Wema Sepetu yaan wana wish wapate pesa wakamkule, lol.
ila binafsi siwezi hata aje kwa magoti.
![]()
Haha babe huo mfano wako sijaupenda walah"I'm sorry your not my type.... please don feel sad i'm trying to be honesty"
"For your information, your not my type so don waste your energy and get out of my face"
Hapa nadhan kinacho matter ni 'tone' ya kuufikisha huo ujumbe lakini ni neno zuri sababu mtu anakua mkweli kuliko kukupotezea muda, kila mtu ana vigezo vyake vya ampendae sasa akikwambia 'your not my type' haimaanishi wewe ni mbaya au huna pesa wala hadhi, anamaanisha huna vigezo vile ANAVYOVITAKA YEYE.
Mf; Wengi wanamtamani Wema Sepetu yaan wana wish wapate pesa wakamkule, lol.
ila binafsi siwezi hata aje kwa magoti.
![]()
Bora umekuwa mkweli maana nilikuwa najaribu kukusoma kwa makini japo nipate hint wapiiii!hadi kwenye page yako nikazuka nikatoka kapa lol! Hahahahaha
Tatizo kama wa humu Jf anakuja kukufungulia uzi![]()
Wakatae kiakili sio kikauzu hivyo!
Hizo joke, ndo zilisababisha Mr x kupitishwa kituo baada ya mama kumtishia mtoto wake ndani ya gari usiponyonya nampa anko, kumbe Mr. X alikuwa next to her, wacha asubiri nyonyoo hadi kituo cha mwisho.
, sasa yeye alitaka apewe kweli?, Mr X alikua jinga huyo , naskia ilibidi amuulize wee mama utanipa kweli ama nishuke tu hahaaaaNi kweli
Noo, usibadili bana,ndyo uniqueness yakooHii avatar ngoja nibadili aiseeh