You are not my type

You are not my type

Yaani ukiambiwa "siyo type yangu" siku inaharibika, kila kitu hakiendi unawaza unajiona hufai au labda unakasoro isiyovumilika!! Hapana kwakweli.
ma mdogo relax bwana, mimi binafsi sipendi ndizi sasa sio siku unipikie ndizi nikakuambia sili uanze kujisikia mnyonge na ujihisi hujui kupika wakati watu wengine kibao wabasifia msosi wako
 
bora umpotezee kimya kimya. ...
siku za usoni unakutana naye ndio unavutiwa naye. ...utashindwa kurudisha maneno nyuma. ....
Kweli aisee mi kuna wa hivyo walikua wananikazia zamani lakini baada ya kutusua niliwagonga wote nikawa nawauliza kwanini mlikua mnagoma wanasema oooh ulikua huna hela so na mimi saizi napiga napita hivi
 
Kuna mmoja aliwahi kuniambia hili neno miaka ya nyuma. Lakini I didn't take it for granted I went on with my shit life infact sikuwa na requirements chache ambazo alionekana kuzihitaji. So nikaendelea kufanya Mambo yangu kwa bidii ikiwa ni pamoja na kusaka hela nakuji man up. So baada ya miaka kadhaa kidogo akanicheki kwa social network nikiwa nchi fulani doing ma thing you know. Aisee alini dm and honestly akanambia you have literally exceeded the requirements of the typa a nigger I need. So nilijiuliza mambo mengi ikiwemo na kwamba she wanted me fancy na kujitupia nini..? anyways nilimla halafu nikamshit kwasbb nami kwa muda huo hakuwa type yangu.

One thing nyie wadada mjue kuwa, we men tunawapenda sana nofilter, notrustfall na hatutowaangusha, ila mwamini tu kwamba we do change it's just a matter of time ili kuwa type mnazozitaka. Daah kazi kwelikweli.
 
aibu yake sasa....
 
Sasa kama hakuwa type yako kwa nini ulimla? Kwani yeye ulivyokuwa sio type yake alikukula?
 
Kuna mmoja aliwahi kuniambia hili neno miaka ya nyuma. Lakini I didn't take it for granted I went on with my shit life infact sikuwa na requirements chache ambazo alionekana kuzihitaji. So nikaendelea kufanya Mambo yangu kwa bidii ikiwa ni pamoja na kusaka hela nakuji man up. So baada ya miaka kadhaa kidogo akanicheki kwa social network nikiwa nchi fulani doing ma thing you know. Aisee alini dm and honestly akanambia you have literally exceeded the requirements of the typa a nigger I need. So nilijiuliza mambo mengi ikiwemo na kwamba she wanted me fancy na kujitupia nini..? anyways nilimla halafu nikamshit kwasbb nami kwa muda huo hakuwa type yangu.

One thing nyie wadada mjue kuwa, we men tunawapenda sana nofilter, notrustfall na hatutowaangusha, ila mwamini tu kwamba we do change it's just a matter of time ili kuwa type mnazozitaka. Daah kazi kwelikweli.
Wanapenda "Ready made". You did the ryt thing, huyo anawaka tamaa nd yo never know what she is capable of doing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom