Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,524
- 18,405
90% watachagua pesa katika uhalisiaPesa inapendwa na kila mtu lakini inapokuja kuchagua kati ya utu na pesa hapo ndio tunagawanyika
60% watachagua utu kinafki ili kufurahisha watu japo moyoni wanaumia