You are not my type

You are not my type

Mara nyingi hili jibu linakuja baada ya kulazimisha sana, unajibiwa no, unaforce kuuliza kwa nini, unaambiwa basi tu, unang'ang'ania. Hilo ndilo jibu linalofata.

Sasa hivi ukinijibu no nafunga chapter, siulizi sababu.
Good. Nachukia sana mtu unayemwambia no halafu anauliza kwa nini.
 
Kwani kuna haja ya kumweleza hayo maneno maisha yanazunguka kuna siku atakuwa type yako huwezi jua maisha haya. Kama humtaki mtu tumia neno la busara achana naye. Kwa mtazamo wangu
1088220
 
Kwa wazoefu hawaulizi hilo swali la kwanini ila anakuja kwa gia tofauti kabisa wala hustuki mwanzoni ukija stuka tayari you’re in love picchu tupa kuleee.

Good. Nachukia sana mtu unayemwambia no halafu anauliza kwa nini.
 
Hahaha kama namuona binti wa watu
Busara ni kitu kizuri sana endapo umejaliwa hilo maana busara nayo sio kama tako kila mtu analo

Kuna mtoto mmoja wa kike ashaniambia hivyo kipindi hiyo analiwa na wazee type ya Kina Kimei au Laswai

Nikaona isiwe ishu mama tembea na gepu

Ukapita muda huyu Mungu sio Athuman kanikuta sehemu na wa kumsaidia ni mimi alitamani ardhi ipasuke azame

Basi mie nikamsaidia hakuamini ,ndio kuanza kujipendekeza na mambo yangu elfu 15 yananisumbua naanzia wapi tena kuhangaika naye nikafunga vioo na mimi nikatambaa na gepu langu

Naimani alijifunza kitu japo ilishakuwa too late .
 
Good. Nachukia sana mtu unayemwambia no halafu anauliza kwa nini.

Nikishakupa ujumbe ukajibu no, ninakuacha naendelea na mishe zangu, ila ndiyo umeshapewa ujumbe. Nabaki kuchombeza ndogo ndogo huku nikijipima.

Kama kweli no yako ilikuwa ya kweli nitajua, ila naweka mazingira wazi ili ukibadili mawazo usione aibu kuja.
 
ni ubinadamu tu..kutumia maneno mazuri kama mtu sio wa 'viwango' vyako..

.kumuambia mtu sio type yake mie naona ni dharau!...

unamuacha mtu feeling inadequate....

..anawaza saa zote hao wa type yako sijui wakoje? lol
Kwani kuna haja ya kumweleza hayo maneno maisha yanazunguka kuna siku atakuwa type yako huwezi jua maisha haya. Kama humtaki mtu tumia neno la busara achana naye. Kwa mtazamo wangu
Wakatae kiakili sio kikauzu hivyo!
Ni vema mmeyasema nyie wenyewe....maana haya yangetoka upande wetu, may be tusingeleweka kabisa!!!

Much blessing to you Dadas...
 
Kwa wazoefu hawaulizi hilo swali la kwanini ila anakuja kwa gia tofauti kabisa wala hustuki mwanzoni ukija stuka tayari you’re in love picchu tupa kuleee.
Picchu inavuliwa kirahisi namna hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom