Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Nadhani pccb wao wameonyesha njia kwa kuwapeleka wakubwa hawa mbele ya pilato, haitoshi tu kuwapeleka bali waithibitishie mahakama kuwa hawa wakubwa kweli wamekwiba, na ni wala rushwa kinyume cha hapo hatutawaelewa.

Inawezekana waungwana, twende kazi

Mkuu, mashitaka yao hayaonyeshi kuwa wameiba-mashitaka yao yanahusiana na 'Abuse of office' wala suala la kuiba halipo
 
Nakumbuka wakati ule Mheshimiwa Raisi aliposema waungwana tusihadaike na sura yake ya TABASAMU. Kwa busara zangu chache ilikuwa nikama anasema, ' tulieni mtaona mambo mazuri na ya ajabu yanakuja'.
#
yes!! habari kwa ufupi ya saa kumi kamili
 
Mramba ndani ya kandambili!?Mungu Mkubwa!
More Photos kwa Hisani ya Issa Michuzi.




2951d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona-3.jpg


Watuhumiwa wakiingia Mahakamani Kisutu leo kusomewa mashitaka.
2952d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona.jpg


Watuhumiwa wakitoka Mahakama Kisutu baada ya kushindwa masharti ya dhamana.

2953d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona-2.jpg


Watuhumiwa wakipelekwa mahabusu ya Keko baada ya kushindwa masharti ya dhamana.
 
Mkuu, mashitaka yao hayaonyeshi kuwa wameiba-mashitaka yao yanahusiana na 'Abuse of office' wala suala la kuiba halipo

kosa waliloshtakiwa nalo ni dogo sana... wakienda mahakama kuu masharti hayo yatatypiliwa mbali... labda kuwepo na mkono wa mkubwa
 
Kazi kweli kweli jamaa hawakumpa hata seconds za kupiga viatu. kweli some people are becoming serious.

Naona jamaa ana kandambili...ila kama ni drama Jk ndo executive producer...basi hii itakuwa fungakazi
 
kwa style walioletwa nayo mahakamani nina wasiwasi kama walilala nyumbani.. ndo maana ukiangalia kwa makini mramba kapiga ndala!!! lol
 
Hata kama Mramba na Yona watashinda kesi lakini chenga TUMEWALA!

Ni Mwanzo mzuri ndugu wapiga kura!.

Wapiga kura ndo jina ninalowaita wananchi wanaochagua viongozi wabovu na wapiga kura hao ni Wananchi wa Tanzania!
 
I ll keep on saying I LOVE JF.

Happened in 16:30

Currently Active Users Viewing This Thread: 537 (176 members and 361 guests)
 
Ndo maana siku zote tunakubali kuitwa wadanganyika. Ni wepesi wakushangilia au kuhamaki kitu na ni wepesi wa kusahau! Let us wait for this to play out. Je balozi mahalu yuko wapi? Kiula je? Nikimwona Rostam na Manji mahakamani nitajua wako serious! Until then I reserve my comments!
 
Nimeconfirm hbari hii kutoka kwa mojawapo wa mahakimu hapo ananiambia ni kweli jamaa wapo hapo ila hataki kusema kama ni kwa kesi au la. Pia hajataka kuniambia ni kesi ipi if it is in that perspective.

Well hata kama ni kweli lakini hatupaswi kuanza kusifia serikali maana inatimiza wajibu wake tukumbuke <100% underperfoRMING, 100% COMPLIANCE, greater than 100% ndiyo PERFORMING HIVYO BASI WENYE KUTAKA KUSIFU MTU AU KIKUNDI CHOHOTE KILE WAJARIBU KUANGALIA HII SCALE.

Nyambala, Umenena. Sina cha Kuongeza hapo
 
kosa waliloshtakiwa nalo ni dogo sana... wakienda mahakama kuu masharti hayo yatatypiliwa mbali... labda kuwepo na mkono wa mkubwa


Hata kuwe na mkono wa Mkubwa gani; ukishakuwa na kesi (hata kama ni ndogo kiasi gani) kuna presha ndogo ambazo haziepukiki...hizo ndio zinatesa kuliko hata hukumu yenyewe. Hawa tuombe mungu waendelee kuwa na afya hivi mpaka kesi iishe...ukiondoa hayo majina yao yanayowapa kichwa; hawana afya hawa na hawajazoea tabu kama hizi.
 
let us be fair... masharti ya dhamana kulingana na kosa walioshtakiwa nalo si sahihi... maana mbona EPA dhamana zao waliruhusu bond? hii mahakama hata siiilewi... au kesi imepelekwa kwa ki-memo? doulbe standard

Mkuu Ochu,
Wewe kwa mtizamo wako utaona si sahihi au fair. Ila ujue hakuna a standard format for making a decision on bail application.Kila kesi inaangaliwa kufuatana na mazingira yake na hakimu au jaji huamua nini cha kufanya.Hawajibiki kuweka masharti unayoona wewe kuwa ni fair..fair to you may be unfair to others.
 
Jamani, mimi nadhani tunampa JK ujiko ambao pengine hastahili ingawa ukweli ni kuwa amejitahidi kufanya kile ambacho Mtangulizi wake Mkapa hakuthubutu kujaribu.

Nionavyo mimi bado JK ana kazi kubwa zaidi ya kufanya, the list is too long, I say too long! Yaani hayo aliyoyafanya kwa hali ilivto tete hapa nchini ni lazima afanye tu hata kama hataki vinginevyo hana haki ya kuwepo madarakani hata kabla ya 2010!

Bado tunasubiri wafuatao kutoka kwa JK ili nao watinge Mahakamani:-
1. Kagoda (Rostam, Manji au wote)
2. Chenge wa Vijisenti (Sijui anasubiri FSO?)
3. Mk...
wengine jazeni wenyewe
 
Jamani, mimi nadhani tunampa JK ujiko ambao pengine hastahili ingawa ukweli ni kuwa amejitahidi kufanya kile ambacho Mtangulizi wake Mkapa hakuthubutu kujaribu.

Nionavyo mimi bado JK ana kazi kubwa zaidi ya kufanya, the list is too long, I say too long! Yaani hayo aliyoyafanya kwa hali ilivto tete hapa nchini ni lazima afanye tu hata kama hataki vinginevyo hana haki ya kuwepo madarakani hata kabla ya 2010!

Bado tunasubiri wafuatao kutoka kwa JK ili nao watinge Mahakamani:-
1. Kagoda (Rostam, Manji au wote)
2. Chenge wa Vijisenti (Sijui anasubiri FSO?)
3. Mk...
wengine jazeni wenyewe

Ibrah mkuu, umenena! Ndo maana nasema hii ni high drama - nice theatre but not the real deal!
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 530 (165 members and 365 guests)
Bonnie1974, 255Texter, 911, Alnadaby, Arsenal, August_Shao, Baba_Enock, Babu Lolepo, bakariabbasi, baron171, BelindaJacob, Bi Tarabushi, Bint, Blanche, Boney E.M., Boniface G. Mduma, Bubu Msemaovyo, bulugu, byasel, Chakaza, CHAUMBEYA, Chuma, cola, Crashwise, Dark City, dash, DawaKali, dedee, djwalwa, Eeka Mangi, epigenetics, FairPlayer, Fatuma, Fidel80, Freetown, fwest, gaijin, Gamaha, Haki.tupu, Herbert, Heri, Ibrah, injinia, Invincible, Jibaba Bonge, Jmpambije, Jobjob2, johnshaaban, Kaizer, kajoro, Kaka Mdogo, Kakulwa, kapuchi, Kashaija, Katibu Tarafa, KatuleJ, KGM, kimweri, King Zenji, Kinyamana, Kinyau, Kite Munganga, Koba, Kwayu, kyelaboy, LadyMzuri, Liganga, Loi, lukule, Lunyungu, Lwikunulo, Madaha, Magehema, Majita, malila, Mama Mdogo, mambo, Mambo Jambo, Manitoba, manundu, matuse, Mbassa, Mboka Manyema, MC, Mchukia Fisadi, mchunje, MegaPyne, Mgoyangi, Mkora, MKUDE WA MGETA, Mkuu, Mlalahoi, mnyama, mnyamwezi, Mnyonywaji, Mnyoofu, moelex23, Morani75, Mpiganaji, MpiganajiNambaMoja, mpingo, Mr EWA, Mr. Zero, Mrefu, MROSSO, mshiiri, Mstaarabu, Mtindiowaubongo, Mtu Kwao, mTz, mTZ_halisi, mucadam, Mughwira, Mukubwa, munjira, MwakyJ, Mwanafunzi, MwanaHabari, Mwiba, myamba, nangella, nat867, Ngongo, Ngorunde, Nono, Nsololi, Nyadundwe, Nyambala, nyamungo, Preacher, Prince, ram, Realist, Safari, SaidSabke, Sally, Sekenke, selemala, semjato, Shadow, share, Shiduki, sunilv00, Susuviri, taffu69, tapeli, TooGood, Tshala, Tujisenti, Ushirombo, Utamaduni, vstdar, waga, wanzagi, watu, WildCard, Willy, wiwibes, WomenofSubstanc, Yebo Yebo, Zanaki, ZeMarcopolo, Zinduka
................................................................................................................
Eeh bwana eh.Nyomi ya kufa mtu.Duh.
 
Mkuu Ochu,
Wewe kwa mtizamo wako utaona si sahihi au fair. Ila ujue hakuna a standard format for making a decision on bail application.Kila kesi inaangaliwa kufuatana na mazingira yake na hakimu au jaji huamua nini cha kufanya.Hawajibiki kuweka masharti unayoona wewe kuwa ni fair..fair to you may be unfair to others.

Mademe Women of Substance,

huwa tunanena kwamba: When a Judge is rendering justice and in his mind comes to say " that is unfair" then that Judge is a good judge b'se he reaches his decision without compromising is final judgement.

Yes we can.........
 
Back
Top Bottom