Kuna tetesi wazee wanaelekea mahakamani, can anyone confirm!!!!!!
Kuna tetesi wazee wanaelekea mahakamani, can anyone confirm!!!!!!
Mimi nimepita maeneo ya mahakama ya Kisutu muda huu kuelekea Unicef sijaona purukushani wala shamra shamra za hao vigogo kupelekwa mahakamani. Labda mahakama kuu au kwingineko!! Mwenye uhakika wa habari atujulishe!!!
nathibitisha sendoff ilikuwepo, niliudhuria mwenyewe. kwahiyo huenda hii habari ikawa na ukweli.Hii habari niliandika wiki iliyopita wakati walipotakiwa kupelekwa mahakamani lakini ikaahirishwa sababu ya Send off ya mtoto wa Mramba.... yote yatatimia.
Ndugu yangu mleta hoja, bila shaka unaota ndoto ya mchana. Jambo hili halitatokea hata kidogo katika Tanzania yetu ya leo.
Kumpeleka Yona mahakamani na kumwacha Mkapa ni sawa na mwili usiokamilika viungo vyake na JK hana ubavu wa kumpeleka Mkapa Mahakamani.
Hii habari niliandika wiki iliyopita wakati walipotakiwa kupelekwa mahakamani lakini ikaahirishwa sababu ya Send off ya mtoto wa Mramba.... yote yatatimia.
Ndugu yangu mleta hoja, bila shaka unaota ndoto ya mchana. Jambo hili halitatokea hata kidogo katika Tanzania yetu ya leo.
Kumpeleka Yona mahakamani na kumwacha Mkapa ni sawa na mwili usiokamilika viungo vyake na JK hana ubavu wa kumpeleka Mkapa Mahakamani.
Wapo Kisutu, bado hawajasomewa mashitaka. Ni kuhusiana na sakata la Alex Stewart
Wapo Kisutu, bado hawajasomewa mashitaka. Ni kuhusiana na sakata la Alex Stewart