Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

let us be fair... masharti ya dhamana kulingana na kosa walioshtakiwa nalo si sahihi... maana mbona EPA dhamana zao waliruhusu bond? hii mahakama hata siiilewi... au kesi imepelekwa kwa ki-memo? doulbe standard
 
...kuna tetesi kuwa KAGODA imeshafika nayo!ya kwamba ndani ya siku mbili hizi patatimka vumbi kabisa pale Kisutu..subira kidogo tu inahitajika!
 
let us be fair... masharti ya dhamana kulingana na kosa walioshtakiwa nalo si sahihi... maana mbona EPA dhamana zao waliruhusu bond? hii mahakama hata siiilewi... au kesi imepelekwa kwa ki-memo? doulbe standard

Mkuu vipi bana, sikutegemea post kama hii itoke kwako!! ulitegemea nini ndugu yangu Ochu? ama umetumwa?
 
TBC wamesema kuwa jamaa wamepelekwa gereza la VIP la Keko! Nadhani ni kitu ambacho kilikuwa hakiwezi kufikirika hapa kwetu. Kwa mbali naona mwanga wa sheria kutobagua (Hongera Warioba na Wanaharakati wengine). Hongera JK, kwa mbali naona unaanza kuwakumbusha viongozi juu ya miiko ya uongozi ingawa na wewe itabidi uzingatie miiko ya Uongozi kikamilifu ili uwe salama.

Hata hivyo, hizo ni tuhuma tu tunasubiri Serikali ithibitishe Mahakamani na sheria ichukue mkondo wake na isiwe dangaya toto.
 
Hongera kwa JK, lakini we still need more. Rostam, Lowassa and BMW

Na kuongezea Former First lady na NGO yake pamoja na Wale NEtGROUP Solutions, wakati njia za kuwazunguka kambare zikiendelea.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 520 (172 members and 348 guests)

Masaki, 911, agwajima, Al, Alnadaby, amagoma, Arsenal, August, August_Shao, Baba_Enock, Babu Lolepo, bakariabbasi, baron171, BelindaJacob, Bi Tarabushi, Bint, Binti Haki, Blanche, bob, Boney E.M., Bubu Msemaovyo, bulugu, byasel, Chakaza, CHAUMBEYA, Chuma, cola, Crashwise, dash, DawaKali, dedee, djwalwa, Edo, Eeka Mangi, epigenetics, Fatuma, FDR.Jr, Franc, Freetown, Fundi Mchundo, fwest, gaijin, Haki.tupu, Herbert, Heri, Hofstede, Ibrah, Incognito, injinia, Invincible, Jibaba Bonge, Jmpambije, Jobjob2, johnshaaban, kajoro, Kaka Mdogo, Kakulwa, kapuchi, Katibu Tarafa, KatuleJ, KGM, Kijunjwe, kimweri, King Zenji, Kinyau, Kite Munganga, korosho, Kuntakinte, Kwayu, kyelaboy, LadyMzuri, lecturer, Liganga, lingusenguse, Loi, lukule, Lunyungu, Lwikunulo, Lyampinga, macinkus, Madaha, Majita, Maktauwo, malila, Malunde-malundi, Mama Mdogo, mambo, Mambo Jambo, Manitoba, manundu, matuse, Mbassa, Mboka Manyema, MC, mchunje, MegaPyne, Mgoyangi, Mkora, MKUDE WA MGETA, Mkuu, Mlalahoi, mnyama, mnyamwezi, Mnyonywaji, Mnyoofu, moelex23, Mong'oo, Mpiganaji, MpiganajiNambaMoja, mpingo, Mpita Njia, Mr EWA, Mr. Zero, Mrefu, mrishog, MROSSO, Mshangaaji, mshiiri, Mstaarabu, Mtu Kwao, mTz, mucadam, Mughwira, Mukubwa, MwakyJ, MwalimuZawadi, MwanaHabari, myamba, nat867, Ncha, Nesindiso Sir, Ngongo, Ngorunde, Nono, Nyadundwe, Nyambala, nyamungo, PatPending, PGW, Prince, ram, Rwabugiri, Safari, Saharavoice, SaidSabke, Sally, Sekenke, selemala, semjato, share, Shiduki, Sober, sunilv00, taffu69, tapeli, TooGood, Tshala, Tujisenti, tzengo, Utamaduni, vstdar, waga, wanzagi, watu, WildCard, Willy, wiwibes, Yebo Yebo, ygjunior, ZeMarcopolo, Zinduka

Thread imevunja rekodi!
 
Sasa naanza kuona kuwa serikali ya Kikwete imeanza utekelezaji wa kuonyesha kuwa mbele ya sheria kila mtu yuko sawa hakuna cha kigogo wala mtoto wa kigogo.Vigogo jeuri fisadi ,watoto wa vigogo,wajukuu wa vigogo na wale wajikomba kwa vigogo kwa mwendo huu ulioanza wakae mkao wa kujinyea.

Mimi leo nitatoka porini ninakoishi nitakunywa gongo na gongo langu hadi asubuhi kusherehekea mawaziri hawa wa zamani kufikishwa mahakamani wakati nikisubiri nione kama hukumu za majaji na mahakimu kama zitaonyesha kuwa mbele ya sheria watu wote ni sawa au la.

Wadanganyika bwana!!kuna nini hapo???JK anakuwekeni sawa kwa 2010 nanyi mwashangilia, Kiula yuko wapi hivi sasa? Hapo kesi hakuna ila anachokitaka ni kuivusha CCM 2010 na kwa jinsi mnavyoshangilia naona tayari ana ushindi wa 60% yaani bao la kisigino na 2015 kijiti anamtupia EL au Membe, mpo???
 

Wadanganyika bwana!!kuna nini hapo???JK anakuwekeni sawa kwa 2010 nanyi mwashangilia, Kiula yuko wapi hivi sasa? Hapo kesi hakuna ila anachokitaka ni kuivusha CCM 2010 na kwa jinsi mnavyoshangilia naona tayari ana ushindi wa 60% yaani bao la kisigino na 2015 kijiti anamtupia EL au Membe, mpo???

Ili kuweka msisitizo wa hizi kesi 2010 Raisi Lipumba, labda atoke Mtu mwingine mwenye Sifa zinazo faa. Kwa nionavyo mimi. kwenye hivyo vyama vingine iwe chama pinzani au tawala
 
Mkuu vipi bana, sikutegemea post kama hii itoke kwako!! ulitegemea nini ndugu yangu Ochu? ama umetumwa?

mkuu ushirombo hujanielewa... nilikuwa nataka masharti kama haya yao yawe kwa wale wa EPA pia...? nilikuwepo mahakamani na wamekataa bond of equivalent sum wakati kwa EPA walikubali. nimebeza double standard ya mahakama
 
Jamani Mramba -hata wanachi wakila manyasi na mizizi
- ndege ya Raisi itanunuliwa tu - siku zote imekua mbovu!
-Rada itanunuliwa tu (majira na mhariri wake Makilla walishitakiwa) - ufisadi wa vijisenti!
- Alex stewart - mkurugenzi mtoto wa mramba!!!!
 
let us be fair... masharti ya dhamana kulingana na kosa walioshtakiwa nalo si sahihi... maana mbona EPA dhamana zao waliruhusu bond? hii mahakama hata siiilewi... au kesi imepelekwa kwa ki-memo? doulbe standard

Mkuu soma hayo maneno niliyoyamwagia wino mzito..sheria na mahakama haiyatambui hayo
 
Mimi yangu macho maana mpaka sasa sijaona kitu zaidi ya theatre tena nzuri yenye high drama, but when the lights are turned off and the audience goes home, the actors take on their real identity and go home.
But the show is good while it lasts.
 
More Photos kwa Hisani ya Issa Michuzi.




2951d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona-3.jpg


Watuhumiwa wakiingia Mahakamani Kisutu leo kusomewa mashitaka.


2952d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona.jpg


Watuhumiwa wakitoka Mahakama Kisutu baada ya kushindwa masharti ya dhamana.

2953d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona-2.jpg


Watuhumiwa wakipelekwa mahabusu ya Keko baada ya kushindwa masharti ya dhamana.
 

Attachments

  • yona 3.JPG
    yona 3.JPG
    42.5 KB · Views: 278
  • yona.JPG
    yona.JPG
    43.4 KB · Views: 277
  • yona 2.JPG
    yona 2.JPG
    37.7 KB · Views: 272
thanks. Ukicheki zile picha jamaa wavyotoka jasho utajua kweli ni wahalifu. Ila sasa hatimayao sijui itakuaje. Tusishangile chenga cha msingi ni magoli.

Ukishangilia sana chenga ufangaji unakua hamna. Lets show still we need something that is nothing.

Mtu akifungwa ruksa sasa kushangilia.
 
JK ni aina ya watu hatari, jambo ambalo wengio walio karibu naye hawalifahamu. Ni aina ya watu ambao anakuchekea akionyesha yu rafiki yako lakinini wakati huo huo akikumaliza. Ni aina ya watu ambao hawapendi kulaumiwa lakini wapenda kusifiwa daima.

Hivyo kutokana na mashinikizo ya watu wenye mapenzi mema na taifa hili ameshituka kwamba anachafuka hivyo lazima ajikoshe na kuonyesha bado yu msafi na muendelee kumpenda.

Ni sifa inayolinifaisha taifa kwa wakati huu, jambo la msingi tuendelee kumbana hadi tuhakikishe nyumba yetu iko salama.
 
Haya tuchukulie kuwa hawa watu wanashinda kesi, hivi mtakuwa na la kusema hapa ? Mmepiga makelele mpaka mmechoka ,na huku watu wanapanga kesi na matokeo mpaka imemaliza ,now what is going on ,is the common word on film making ....ACTION.....
Yaani mmesahau kabisa kama hawa jamaa ni wasanii , nawashangaa sana sana. Hapa serikali wataEPA na feza za walala hoi na wenye nchi wataibuka videdea kama wanavyopenda kujiita washindapo uchaguzi.

Nahisi kama vyama vya Upinzani vinaweza kutoa mawakili wao na kuwepo upande wa serikali (Mashtaka) ingekuwa poa lakini hii mahakama Jaji msudani ,wakili Msudani mshitakiwa msudani ,hivi kuna usawa hapo ? Nikimaanisha hapa matatizo yalipofikia inaonyesha Wananchi pamoja na vyama vya upinzani havina imani na serikali kuwa kesi hizi zilizozuka zitaendeshwa kiusawa hivyo kadiri matokeo yatakavyokuwa hayataweza kuwaridhisha wananchi au washtakiwa ,hili ni lazima litakuwepo na ukiangalia zaidi kuna watakao dai wameonewa na kuna watakao daiwa wameachiwa.
 
Mramba alikuwa amepiga lapa chini? ama ni macho yangu?
 
Nasikia TBC1 wameruhusha kuwa jamaa wanapelekwa keko ni kweli?
 
Nakumbuka wakati ule Mheshimiwa Raisi aliposema waungwana tusihadaike na sura yake ya TABASAMU. Kwa busara zangu chache ilikuwa nikama anasema, ' tulieni mtaona mambo mazuri na ya ajabu yanakuja'.
#

The credit goes to....Jakaya Mrisho Kikwete!!!! The governent has shown that it is pursuing rule of law,good governance and is listening to the people!!Mramba anza kujitayarisha kula nyasi huko Segerea usicheze na wananchi!!
 
View attachment 2945

View attachment 2946

View attachment 2947

Mawaziri wa awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona wamepandishwa mahakamani kwa kutuhuma za kusababisha hasara ya shilinbgi bilioni 11 za serikali katika ishu za madini wakiwa mawaziri. Hali katika mahakama ya kisutu mchana wa leo ilikuwa tete tangu kuenea kwa taarifa za kupandishwa kizimbani mawaziri hao na kesi imeahirishwa hadi Desemba 2 mwaka huu na 'wazee' wamepelekwa keko baada ya kukwama kutimiza masharti magumu ya dhamana.......!


What about their boss, the former (previous) president? Didn't he know about that au alilewa madaraka na ubabe wa haambiliki? Bado Mgonja na Kagoda kabla ya Mkulu aliyepita because it is hardly believable kwamba hawa Mafisadi wa leo wakaenda bila Campaniero wao.
 
Back
Top Bottom