Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Hata kuwe na mkono wa Mkubwa gani; ukishakuwa na kesi (hata kama ni ndogo kiasi gani) kuna presha ndogo ambazo haziepukiki...hizo ndio zinatesa kuliko hata hukumu yenyewe. Hawa tuombe mungu waendelee kuwa na afya hivi mpaka kesi iishe...ukiondoa hayo majina yao yanayowapa kichwa; hawana afya hawa na hawajazoea tabu kama hizi.

Mkuu Yebox2 ni lazima ujue kuwa kesi hizi zimepangwa ziishe baada ya 2010 ili kukinusuru chama, mishemishe unayoiona imeratibiwa kiutaalamu na hao wahusika watakuwa wameelezwa hatima yao kwani JK hana ubavu wa kupingana na wakubwa, IMF. WB, etc, na nyie walala hoi/wapiga kura kwisha kazi maanake mtakenua kila siku mwisho wa yote mtampitisha kizingiti ambacho yeye anakiona 2010
 
...so far so good,prosecutor sasa kuwaweka hatiani na wezi wote wa mali za walipa kodi naona mmepata message,najua kina Karamagi,Rostam,Lowassa etc huko waliko wameanza kujikojolea maana Richmond nasikia iko kwenye finals na anytime warrant zitatoka....this is good for our Nation na itasaidia kupunguza umaskini sana!
 
Pamoja na yote haya hata kama na yeye mwenyewe kikwete akiletwa mahakamani na iptl yake mwaka 2010 lazima tubadilishe chama tunataka maendeleo ya kweli tunataka watu wapya wa kibadilisha kila kitu katika tanzania hata waamue kujitundika tumechoka na chama chao mabadiliko tutafanya
 
The Mramba-Yona Case
TWO former senior cabinet ministers appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam today charged with abuse of office and occasioning loss of over 11bn/- to the government.
They have been remanded for failure to meet bail conditions.

Mramba Basil Pesambili and Daniel Aggrey Ndhira Yona, who were Minister for Finance and Minister for Mineral and Energy, respectively are facing a total of 13 counts. They pleaded "not guilty" before Resident Magistrate Hezron Mwankenja.

Thought they appeared composed on the dock as the prosecution read the charges against them, Yona was sweating profusely and kept wiping his face the whole day. Members of the public booed at them as they were being taken to remand.

The magistrate granted them bail, but on stringent conditions requiring each to deposit cash 3.9bn/- and secure two reliable sureties.

He also ordered them to surrender their passports and restrained them to leave the city without court’s permission.

None of them met the conditions and were ordered to remain in remand until December 5, when their case will be mentioned.

Investigations into the case have not been completed, the prosecution, led by a team of five prosecutors told the court.

They are Principal State Attorney Boniface Stanslaus, Senior State Attorney Frederick Manyanga and three officials from the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Hole Joseph, Benn Linkon and Tabu Mzee.

The then ministers, who are defended by advocates Michael Ngalo, Joseph Tadayo, Sam Mapande, Mafuru Mafuru and Elisa Msuya, arrived at the court premises in a PCCB vehicle, Toyota Land cruiser GX registration number T 319 ATD.

They also boarded the same vehicle when were taken to Keko Remand Prison. Their arraignment was witnessed by several people who jammed at the court premises early in the morning after learing that the duo would be brought there to answer criminal charges.

The charges against the two former ministers are not related with the scandal surrounding the External Payment Arrears (EPA) account of the Bank of Tanzania as previouslyassumed by many.

Both accused are facing jointly five charges of abuse of office and one count of occasioning loss to the government, while Mramba alone faces eight similar counts.
It is alleged that the duo committed the offences between 2002 and 2007 at their respective offices.

The prosecution alleged that between August 2002 and May 28, 2005, being employed in public service and serving as ministers, the duo abused the authority of their offices by doing several decisions.

They include arbitrarily procured M/S Alex Stewart (Assayers) UK and its subsidiary company, M/S Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation to sign and execute gold production assaying agreement in Tanzania in contravention of Public Procurement Act and Mining Act, respectively.

The prosecution alleged that the former ministers left the Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation to sign an addendum extending gold production assaying agreement for two years from June 14, 2005 to June 23, 2007 in contravention of the said Acts.

It is alleged further that the duo invited Dr. Enrique Sugura of the said company to formalise the two years extension before the Government Negotiation Team was convened to work on the matter.

The accused also abstained from attending the mining assayer’s fees issue and submitting the agreement to the Attorney General for vetting as it was recommended by the team consequent upon which act an addendum extending the gold production assaying agreement for two years.

Between June 1003 and May 28, 2005, serving as ministers, willfully and by their failure to take reasonable care or discharge their duties in reasonable manner, the duo unjustifiably allegedly processed a gold production assaying agreement with a clause number 4.3.1.

The prosecution alleged that the said clause led to unjustified tax exemption in favour of M/S Alex Stewart) Assayers) Government Business Corporation, thereby occasioning loss to the government to the tune of 11,752,350,148/-.

While Mramba alone, the prosecution alleged, between October 10, 2004 and November 15, 2005, as Minister for Finance, abused the authority of his office by arbitrarily doing several unjustified decisions.

They include ignoring the recommendation by the Tanzania Revenue Authority (TRA) not to grant tax exemption to M/S Alex Stewart Assayers) Government Business Corporation.

He also allegedly processed and issued Government Notices (GN) No. 423/2003, 424/2003, 497/2004, 498/2004, 377/2005,378/2005, which granted tax exemption to the whole of withholding income tax payable by the said company contrary to the recommendations given by the TRA.

Between 2003 and 2007 in the city, as Minister for Finance, willfully and by his failure to take reasonable care of to discharge his duties in a reasonable manner, Mramba unjustifiably allegedly signed the said government notices.

The said notices, according to the prosecution, had the effect of exempting the said company from paying income tax, thereby occasioning loss to the government of the said 11bn/-.
 
lakini mimi najiuliza,hawa walikuwa ni watumishi wa umma,mmoja juzi tu,na mwingine miaka kama mitatu iliyopita,wanaambiwa watoe shs BILIONI 3 kupata dhamana.Hii figure,ndio sheria inasema hivyo au hakimu anaamua tu? Pili,kama wakitoa kweli hizo dola milioni tatu kila mmoja,jamani si ni soo lingine hilo? Yaani mawaziri wa nchi maskini wana dola milioni tatu kila mmoja za kujitolea mdhamana! Wangewapiga na Uhujumu Uchumi tu.Hizo ni dola milioni 6,hapo watu wanatoa kama dhamana,kwenye nchi ambayo mpaka leo kuna watoto wanasomea chini,mahospitali hayana madawa,wastaafu wanapigwa danadana.....jaribu kufikiria hio pesa inaweza kufanya mangapi kwa wengi.Jumlisha hio na EPA sasa.
 
More Photos kwa Hisani ya Issa Michuzi.




2951d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona-3.jpg


Watuhumiwa wakiingia Mahakamani Kisutu leo kusomewa mashitaka.


2952d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona.jpg


Watuhumiwa wakitoka Mahakama Kisutu baada ya kushindwa masharti ya dhamana.

2953d1227618932-yona-na-mramba-kufikishwa-mahakamani-yona-2.jpg


Watuhumiwa wakipelekwa mahabusu ya Keko baada ya kushindwa masharti ya dhamana.


Mbona hapo naona kama kuna shangingi, ndo kusema wao wana preveledge za kupanda shangingi kwenda keko ama vipi?
 
Wakifika KEKO/SEGEREA wanaimbiwa kale kawimbo ketu ka ushindi "WANAMEREMETA WANAMEREMETA x2 YONA ANAMEREMETA..... MRAMBA ANAMEREMETA...."
 
Mademe Women of Substance,

huwa tunanena kwamba: When a Judge is rendering justice and in his mind comes to say " that is unfair" then that Judge is a good judge b'se he reaches his decision without compromising is final judgement.

Yes we can.........

Shadow,
You couldnt be more right!
 
Hapa kuna mawili.Labda JK ameamua haya ili watanzania waamini yeye si lelemama kama tunavyoona na kuamini au ni drama inayochezwa kwa ajili ya 2010.Tusubiri tuone.Kama ni nyekundu au nyeusi,kama ni mbivu au mbichi,ITAELEWEKA TUU.
 
Ama kweli leo jf imekusanya wooooooote waliokuwa wamepotea. Isije ikawa wamekuja kukagua uhuru wetu😀
 
Nimependa na kufurahi; ila 100%-Comliance; <100%-Underperforming;>100% -Doing according to requirements of people;

hapa bado madudu ni mengi yametunzwa; tunataka yote yatoke; Kagoda; richmond;IPTL;TRL; BUzwagi; Meremeta; Deep green ndio mseme sasa la sivyo wote mnaopiga kelele kuhusu hili bado hata robo bado; tena acheni siasa na ushabiki; muda wa kazi huu na bado hakijaeleweka kabisa
 
lakini mimi najiuliza,hawa walikuwa ni watumishi wa umma,mmoja juzi tu,na mwingine miaka kama mitatu iliyopita,wanaambiwa watoe shs BILIONI 3 kupata dhamana.Hii figure,ndio sheria inasema hivyo au hakimu anaamua tu? Pili,kama wakitoa kweli hizo dola milioni tatu kila mmoja,jamani si ni soo lingine hilo? Yaani mawaziri wa nchi maskini wana dola milioni tatu kila mmoja za kujitolea mdhamana! Wangewapiga na Uhujumu Uchumi tu.Hizo ni dola milioni 6,hapo watu wanatoa kama dhamana,kwenye nchi ambayo mpaka leo kuna watoto wanasomea chini,mahospitali hayana madawa,wastaafu wanapigwa danadana.....jaribu kufikiria hio pesa inaweza kufanya mangapi kwa wengi.Jumlisha hio na EPA sasa.


Mimi sio mtaalamu wa sheria lakini nadhani mahakimu huwa wanaangalia uzito na thamani/hasara waliyoisababishia serikali...hapo unaona kuwa ni bilioni 11 hivi kwa hiyo dhamana ya walau nusu ya kiwango hicho inakubalika.....haijalishi kama wao binafsi wanazo au la sheria haiangalii hilo...ni mtazamo wangu tu wataalamu watatuambia hapa..
 
this is the moment of truth...mbivu na mbichi zitajulikana huko mahakamani na lazima MKAPA atajwe tena sana tuuuu!!!
 
Hapa mambo bado mbona..? Hawa ni 2 tuu, tunataka kuwaona na waliobakia wanafikishwa mahakamani ili nchi itikisike kama Hosea alivyosema. Ila kesi yao ni matumizi mabaya ya ofisi?? Inatia shaka.
 
Facts:
1. They were both Finance ministers.
2. They are both from the same region.
3. There is a propaganda some people want to remove Honorable President Kikwete from running for presidency in 2010.
4. There is a silenced issue of "Mgombea binafsi".
5. "Mwanahalisi" newspaper banned for three month for publishing the issue.
6. No body expected this to happen now, both were not even in the news lately as compared to "mzee wa vijisent".
7. Unrealistic amount of money to be paid for them to be bailed out... as compared to the other "Fisadis".
*
*
*
There must be something "fishy" going on here..... you are the judge.
 
Back
Top Bottom