Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Quote:
Originally Posted by lukule
Wadau sasa ni wakati wa watu wote kuungana na rais sio kudoubt step anazochukua.. ameonyesha yuko serious .. watu kwenda mahakamani sio jambo la mchezo. naomba tumuunge mkono mheshimiwa rais Kikwete..

Mmetumwa nini?????????????

Hawa nyambala ni mamluki si unaona tangu Aug, 2008 wan post 2 tu wanaingia hapa kuchunguza chunguza na kupiga chabo sasa wamepata chafya wameshindwa kujizuia. Mod wafanyie follow up na mtu akikaa sana bila kuchangia tuweke mkakati utakao deal nao.
 
Ukitembelea Blog ya Michuzi unaweza ukapata na picha za Wazee, kweli wametinga mahakamani Kisutu.
 
Ccm wao na serikali yao wanaonyesha dhamira yao ya kupambana na rushwa, chadema na wengineo kama wanayo hoja ya kupingana na hii dhamira ya ccm kujisafisha kwa sheria.

Chadema wanapaswa wajibu hilo kwanza kwa kuruhusu mkaguzi huru wa hesabu za chama na taarifa hiyo iwe wazi kwa umma wote, maana nao wameshatuhumiwa na marehemu makamu mwenyekiti wangwe.

Nadhani pccb wao wameonyesha njia kwa kuwapeleka wakubwa hawa mbele ya pilato, haitoshi tu kuwapeleka bali waithibitishie mahakama kuwa hawa wakubwa kweli wamekwiba, na ni wala rushwa kinyume cha hapo hatutawaelewa.

Inawezekana waungwana, twende kazi
 
Hii habari niliandika wiki iliyopita wakati walipotakiwa kupelekwa mahakamani lakini ikaahirishwa sababu ya Send off ya mtoto wa Mramba.... yote yatatimia.

Nyeti nilizonasa, wazee wanatafutiwa mahitaji ya kutumia huko keko, e.g bukta, maji, miswaki na ndugu wa karibu ... hata muda wa kwenda kufwata nyumbani hakuna ni kununua tu mjini haraka haraka

Upepo umebadilika ghafla sana...acheni masihara na kufikishwa mahakamani jamani.
 
Haya ndo MAPAPA yenyewe aka MAKAMBARE yamenaswa kiulani kwenye nyavu za dagaaa.Anaye bisha aendelee kubisha lakini habari ndo hiyo.
View attachment 2944
 
Bahati nzuri nilikuwa maeneo hayo ya Kisutu wakati wakileltwa hivyo nikaona Live. Wanashitakiwa kwa "Abuse of Office" wakati wakiwa mawziri wa fedha kwa kutoa misahama ya kodi kwa Alex Steward Asseyers etc. Wamepata mdhamana lakini masharti magumu hasa kila mtu kuweka Tshs3.9 billioni mahakami CASH MONEY! Na wadhamini wawili wa kuaminika na wakubaliwe na mahakama. Habari za sasa hivi zinasema wameshindwa mashariti na wamepelekwa rumande. Kesi itatatwjwa tena 2 Desemba 08. Angalia picha kwenye blog ya Muhidin Michuzi.
 
a good start to simply excite the public ili wamsifie, mjiulize, hivi JK anaweza kujishtaki mwenyewe? maana Lowassa, Rostam na Apson ----na "kidogo" yeye ndiyo walikula kagoda....hii ni show tu, wako Keko VIP, wana sehemu nzuri tu ya kupumzika pale and they conduct business kama kawaida...(escobar style).
but its a good start if the trial goes on, tunakumbuka kesi ya Mahalu mbona watu wamesahau, walimpongeza sana JK, pamoja na ushahidi wooote ule ambao upo against balozi, trial mpaka leo ina drag in the courts....hizi kesi za hawa tegemeeni convictions kama 2016 hivi.
 
Ccm wao na serikali yao wanaonyesha dhamira yao ya kupambana na rushwa, chadema na wengineo kama wanayo hoja ya kupingana na hii dhamira ya ccm kujisafisha kwa sheria.

Chadema wanapaswa wajibu hilo kwanza kwa kuruhusu mkaguzi huru wa hesabu za chama na taarifa hiyo iwe wazi kwa umma wote, maana nao wameshatuhumiwa na marehemu makamu mwenyekiti wangwe.

Nadhani pccb wao wameonyesha njia kwa kuwapeleka wakubwa hawa mbele ya pilato, haitoshi tu kuwapeleka bali waithibitishie mahakama kuwa hawa wakubwa kweli wamekwiba, na ni wala rushwa kinyume cha hapo hatutawaelewa.

Inawezekana waungwana, twende kazi

Who cares kama Chadema wanaibiana hela zao, who cares kama CCM wanaibiana hela zao. Issue ni kuwa hela za taifa zisiibwe na chama chochote. Hela za wananchi zisitumiwe kwa manufaa nya watu binafsi na kwa manufaa ya chama fulani. Kama CCM wangekuwa na nia ya kupambana na ufisadi wangeifanya kazi hiyo kwa urahisi sana toka zamani. Walikuwa wapi? Credit wanatakiwa kupewa wananchi na international community waliotoa presha ya kuwashughulikia mafisadi
 
Si suala la mamluki hapa.. na kwa taarifa yako mimi sio mamluki... na ukweli ni kwamba Rais amefanya jambo ambalo wengi hatukutarajia kama ana ujasiri huo. Sasa mtu akifanya jambo zuri ni vizuri kumpongeza. Na pia sio lazima kulalamika tuuu bila kuona kazi inayofanyika... sasa watu unawaona hao hapo mahakamani bado unasema ooh mamluki!!! Sheria ndio inachukua mkondo wake... na tusisahau Rais kwenye hotuba yake ya kufungua bunge alisema ... Tusije laumiana mbele ya safari ... na kwamba ... I am firm on issues though i may be smiling... Au mmesahau?? Kitu kimoja ananifurahisha ni kwamba hana jazba ya kukurupukia mambo .. na hiyo ndio kiongozi anapaswa kuwa... sasa mzee ulitaka awapige risasi au ???
 
Ningekuwa hapo kisutu ningekodi tax ili niwasindikize huko keko/segerea mpaka nione wakiingia ndani halafu ningerudi kwa mguu mpaka home Mbagala.
Jitu kama Mramba/Yona kuingia lupango si mchezo.
 
Huyu naye keshaaanza kuchafua jukwaaa.....

Mkuu USHI heshima mbele,naomba nikupinge kwa kusema kuwa mkuu hapo juu anchafua jukwaa,,kimsingi tukiwa hapa jukwaani kila mtu ana uhuru wa kuongea chochote mradi havunji sheria za jukwaa hili,co kusema kwamba anachafua hewa ni kutomtendea haki hasa ukizingatia kwamba 'JF is a place where people dare to talk openly'....So fanya busara kwa kuheshimu post za wenzako mkuu kama wao wanavyoziheshimu za kwako...Ni mtizamo wangu na ushauri tu mkuu si vinginevyo
 
Huyu naye keshaaanza kuchafua jukwaaa.....

Mkuu USHI heshima mbele,naomba nikupinge kwa kusema kuwa mkuu hapo juu anachafua jukwaa,,kimsingi tukiwa hapa jukwaani kila mtu ana uhuru wa kuongea chochote mradi havunji sheria za jukwaa hili,co kusema kwamba anachafua hewa ni kutomtendea haki hasa ukizingatia kwamba 'JF is a place where people dare to talk openly'....So fanya busara kwa kuheshimu post za wenzako mkuu kama wao wanavyoziheshimu za kwako...Ni mtizamo wangu na ushauri tu mkuu si vinginevyo
 
Unajua hata sadaam husein alipokamatwa kuna watu walikuwa wanasema sio yeye ... kwa hiyo habari ndio hiyo .. ... na bado ...Kumbuka Pinda kashasema kwenye Press conference jana.. if you read between the lines you will understand that there is a lot more to come stay tuned
 
Teheeee!teheee!teheeeee!

I am very opmistic that one day no single culprit will be left untested!
 
Dar City ur just broke..chill.lol

Jamani u people.. are u on drugs? JK na Mramba wana beef, and Yona anamuona JK kama bwana mdogo na hawa jamaa the investigation yao iliisha zamani...Timing ilikuwa inapimwa

to get ur shallow minds of the real prize KAGODA..... mnapigwa changa.. Wake UP! Mnashangilia nini... Hakuna chochote, JK anataka aonekane kuwa yeye Kweli anapiga vita ufisadi so anatoa kafara ndogo ndogo... Atoe Kagoda basi, Apson, yeye mwenyewe, Rostam, BWM.... Dont be fooled..

You are right ,at least from your point of view. Haiwezekani hii ikawa break through ya kuipata Kagoda Apson, Kiwira ?et al . Lets wait kabla hatujashangilia .
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 448 (153 members and 295 guests)
FairPlayer, 911, allse, Arsenal, August_Shao, Baba_Enock, Babu Lolepo, Balantanda, BelindaJacob, Bi Tarabushi, Bint, Binti Haki, Blanche, Boney E.M., Bongolander, Bubu Msemaovyo, bulugu, byasel, CHAUMBEYA, Chuma, CottonEyeJoe, dash, DawaKali, dedee, djwalwa, Edo, Eeka Mangi, FDR.Jr, Fidel80, Franc, fwest, Halisi, Heri, Hofstede, injinia, Jmpambije, Jobjob2, kajoro, Kaka Mdogo, Kakulwa, kapuchi, KatuleJ, KGM, Kichakoro, King Zenji, Kinyau, Kisambayende, Kite Munganga, Koba, korosho, Kudi Shauri, Kuntakinte, Kwayu, LadyMzuri, LazyDog, Liganga, lingusenguse, Liz Senior, Loi, lukule, Lunyungu, Lwikunulo, Majita, malila, Malunde-malundi, Mama Mdogo, MamaParoko, mambo, mamiso, Manitoba, manundu, Masaki, matuse, Mbassa, Mboka Manyema, MC, MegaPyne, Mfamaji, Mgoyangi, Mkora, MKUDE WA MGETA, Mkuu, Mlalahoi, mnyama, Mnyonywaji, Mnyoofu, Morani75, Mpiganaji, MpiganajiNambaMoja, mpingo, Mpita Njia, Mr. Zero, Mrembo, MROSSO, Mshangaaji, mshiiri, Mtanganyika, Mtanzania, Mtu Kwao, mTz, muadilifu, mucadam, Mughwira, Mukubwa, MwakyJ, MwanaHabari, myamba, Najikopa Mwenye, nat867, Next Level, Ngongo, Ngorunde, Nono, Nyadundwe, Nyambala, nyamungo, nyauba, Ochu, PGW, Prince, Rajmtumbwi, ram, Safari, Saharavoice, SaidSabke, Sally, semjato, share, Shiduki, Shy, Sikonge, Single D, sir leem, Sober, sunilv00, taffu69, tapeli, TooGood, Tshala, TwendeSasa, Utamaduni, vstdar, waga, Wakunyuti, watu, WildCard, Willy, Yebo Yebo, ygjunior, ZeMarcopolo, zkassiba
 
Taarifa nilizozipata zinasema, Mramba na Yona wameshindwa masharti ya dhamana na wamepelekwa mahabusu mpaka hapo kesi yao itakapotajwa tena.
 
Maandalizi yalishafanyika kuwa wasikae ndani hata siku moja, wamekaa meza moja na wakuu wa serikali, watu wa kwa DPP, na kukubaliana style ya kuendesha mashtaka.

Huu ni ujanja ujanja tu, wa kufunika kombe ......

Kupeleka mawaziri wa zamani mahakani ni ujanja ujanja? Mwulizeni Kiula na madhara ya kupelekwa mahakamani. Baada ya kusomewa mashitaka heshima yote ya akina Mramba na Yona inaporomoka hapo hapo.

Hii ni hatua kubwa sana kwenye uongozi wa sheria TZ. Mara ya mwisho lini waziri wa TZ alipelekwa mahakamani?

Kuna watu hapa hata JK afanye nini, hawawezi kukubali.

Hii hatua kubwa na tuombee wengine wote waishie huko huko Kisutu.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 448 (153 members and 295 guests)
FairPlayer, 911, allse, Arsenal, August_Shao, Baba_Enock, Babu Lolepo, Balantanda, BelindaJacob, Bi Tarabushi, Bint, Binti Haki, Blanche, Boney E.M., Bongolander, Bubu Msemaovyo, bulugu, byasel, CHAUMBEYA, Chuma, CottonEyeJoe, dash, DawaKali, dedee, djwalwa, Edo, Eeka Mangi, FDR.Jr, Fidel80, Franc, fwest, Halisi, Heri, Hofstede, injinia, Jmpambije, Jobjob2, kajoro, Kaka Mdogo, Kakulwa, kapuchi, KatuleJ, KGM, Kichakoro, King Zenji, Kinyau, Kisambayende, Kite Munganga, Koba, korosho, Kudi Shauri, Kuntakinte, Kwayu, LadyMzuri, LazyDog, Liganga, lingusenguse, Liz Senior, Loi, lukule, Lunyungu, Lwikunulo, Majita, malila, Malunde-malundi, Mama Mdogo, MamaParoko, mambo, mamiso, Manitoba, manundu, Masaki, matuse, Mbassa, Mboka Manyema, MC, MegaPyne, Mfamaji, Mgoyangi, Mkora, MKUDE WA MGETA, Mkuu, Mlalahoi, mnyama, Mnyonywaji, Mnyoofu, Morani75, Mpiganaji, MpiganajiNambaMoja, mpingo, Mpita Njia, Mr. Zero, Mrembo, MROSSO, Mshangaaji, mshiiri, Mtanganyika, Mtanzania, Mtu Kwao, mTz, muadilifu, mucadam, Mughwira, Mukubwa, MwakyJ, MwanaHabari, myamba, Najikopa Mwenye, nat867, Next Level, Ngongo, Ngorunde, Nono, Nyadundwe, Nyambala, nyamungo, nyauba, Ochu, PGW, Prince, Rajmtumbwi, ram, Safari, Saharavoice, SaidSabke, Sally, semjato, share, Shiduki, Shy, Sikonge, Single D, sir leem, Sober, sunilv00, taffu69, tapeli, TooGood, Tshala, TwendeSasa, Utamaduni, vstdar, waga, Wakunyuti, watu, WildCard, Willy, Yebo Yebo, ygjunior, ZeMarcopolo, zkassiba

Mkuu kitu kimekula nyomi balaa.Waonaje mitambo inaweza kuelemewa au?
Watu saizi mitaani wanafanya sherehe wanajipongeza kwa kunywa.
Bado Kambare RA na EL.
 
Back
Top Bottom