Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote.
Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa kumtaja moja kwa moja.
Hata hivyo, maadam umetaja jina tu bila kuweka cheo alichokuwa nacho, unaweza ukawageuzi kibao kwa kuwataka waseme wamejuje kuwa umemlenga yeye kwani jina kama hilo linaweza kuwa ni la mtu zaidi ya mmoja.
Pia, umekuwa mjanja katika kutaja (kuandika) first name ya muhusika, hivyo itabidi wafanye kazi ya ziada iwapo watakusudia ku-deal na wewe.
All in all, jipange in case of anything kwani kama wameamua kumlinda, basi wanaweza kuwa wakali kwa yoyote anaemuandama wazi wazi kama ulivyofanya.