Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

Sasa miaka hiyo na sasa ni tofauti mno. Ubazungumzia post uhuru where tulikua hatuna technological advanced zozote? Basically ndio tulikuwa chekechea kwenye mambo ya kimataifa. While us was waaay advanced. Simtetei but comparisonzon yako is so off
Tofauti ni nini? Niambie ni technology advancement gani tunayo sisi? US wanadukua mawasiliano ya Chancellor wa Ujerumani bila wao kujua sembuse sisi tunaoshindwa kutengeneza hata machine ya kukoboa mahindi.
 
Kuna mahali nimesema ukiwa advanced kudukuliwa ndio basi? Marekani na advancement zao mpaka leo lakin wanadukuliwa na siri zinaibiwa daily? Kuwa advanced haimaanish ni unakuwa hudukuliki

Nchi ime develop kwa kiasi chake kwa uwezo wake, hawawez kufikia level za mataifa makubwa kwa sasa, but atleast threat za kizaman hazifanikiw kwa sasa
Tofauti ni nini? Niambie ni technology advancement gani tunayo sisi? US wanadukua mawasiliano ya Chancellor wa Ujerumani bila wao kujua sembuse sisi tunaoshindwa kutengeneza hata machine ya kukoboa mahindi
 
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;

===================
Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi kuona yale niliyoyahubiri kwa miaka 15 na kuyaandikia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchimi, sasa yanaanza kuzaa matunda.

Nilipongeza uamuzi wa Tz kupeleka majeshi ya ulinzi wa amani DRC, Na leo haya ndio matunda ya Ujasusi wa Kiuchumi.

Well done Community of Intelligence Agencies Of Tanzania (TISS and MI) Well Done Spymaster, Well Done Hon E. President.

Sasa kuna kila dalili njema kwamba Taifa linarejea taratibu na kwa ufanisi kwenye nafasi yake Afrika Mashariki, Kusini mwa Jangwa la Sahara na Afrika kwa Ujumla.
View attachment 2945498

View attachment 2945500
Hon E President ndiyo nani mkuu?
 
Kuna mahali nimesema ukiwa advanced kudukuliwa ndio basi? Marekani na advancement zao mpaka leo lakin wanadukuliwa na siri zinaibiwa daily? Kuwa advanced haimaanish ni unakuwa hudukuliki

Nchi ime develop kwa kiasi chake kwa uwezo wake, hawawez kufikia level za mataifa makubwa kwa sasa, but atleast threat za kizaman hazifanikiw kwa sasa
Unaongea maneno mengi lakini mwishoni umekubali so called advanced technology yetu siyo kitu kwa mataifa makubwa kama hoja yangu ya mwanzo. Ukifikiria hata hiyo teknolojia yenye wamebuni wenye inakuwa ujinga mtupu.
 
Nadhani wewe ndio hujaelewa na approach from which angle. Read btn the line man
 
Back
Top Bottom