Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,787
- 3,333
Weka picha tuone uharibifu sio unaleta ngonjera hapaHiyo meli inayobeba ndege ndio iliyopigwa Jana na sasa haifanyi kazi. Sasa jiulize mwenyewe kama imepigwa na jambia utajua mwenyewe.
Weka picha tuone uharibifu sio unaleta ngonjera hapaHiyo meli inayobeba ndege ndio iliyopigwa Jana na sasa haifanyi kazi. Sasa jiulize mwenyewe kama imepigwa na jambia utajua mwenyewe.
Kwanini asiwape huo ushindi waafrika wenzako kote duniani? Utumwa wa akili ni mbaya sana.
Waarabu ni bora zaidi ya binaadamu wote ulimwenguniKwanini asiwape huo ushindi waafrika wenzako kote duniani? Utumwa wa akili ni mbaya sana.
Jambia huku unatamka Allahu Akbaryemeni wana amini wanaweza kupigana na jambia wakati wenzao wanameli zina beba ndege
Mkwara wa mende kuangusha kabati.Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen.
Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari kwa maslahi yeyote ya marekani katika eneo la mashariki ya kati yapo hatarini.
Aidha amri ya kutopitisha meli yeyote ya Marekani katika redsea inaendelea.hii ni pamoja na meli zote zinazoelekea Israel mpaka Gaza itakaporuhusiwa kupokea misaada na chakula.
Mpaka sasa marekani haijatoka taarifa yeyote baada ya Jana Yemen kuzuia mashambulizi ya ndege za marekani zilizogeuzia njiani hapo Jana .View attachment 3275406
Mnatuchanganya. Nani katangaza vita. Yemen au Wahouth?Sawa lkn faaam tu YEMEN ilishambuliwa siku ya J mosi jpili YEMEN Wakajibu kuitandika iyo meli iliobeba ndege zilizoenda kuitwanga Yemen !!!!
YEMEN ndio walitoa habari iyo kuwa wameitwanga mala3 mwisho jana j3.
Tangu shambulio la j.mos marekani ajafanya lengine uko YEMEN na badala yake tumemsilkia Tramp akilalamika kuusu IRAN kuwasaidia Wahouth!!!
Yani yeye sawa kusaidia waisrael kuuwa watoto wa Gaza!!!!
lkn yeye kupigwa Meli yake tu analalamika!!!!!
Masjid, anasubiri mpaka sheikh amalize kuswalisha tarawei ndio ampe habari za middle east.Umejifungia wapi huko ambako hupati habari juu ya yanayoendelea?
Sio yemen ni wahouthiBaada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen.
Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari kwa maslahi yeyote ya marekani katika eneo la mashariki ya kati yapo hatarini.
Aidha amri ya kutopitisha meli yeyote ya Marekani katika redsea inaendelea.hii ni pamoja na meli zote zinazoelekea Israel mpaka Gaza itakaporuhusiwa kupokea misaada na chakula.
Mpaka sasa marekani haijatoka taarifa yeyote baada ya Jana Yemen kuzuia mashambulizi ya ndege za marekani zilizogeuzia njiani hapo Jana .View attachment 3275406
Wahouth ndio wayemen wenyewe au unadhani ni wamarekaniSio yemen ni wahouthi
😂 Military restrictions imposed for security reasonsWeka picha tuone uharibifu sio unaleta ngonjera hapa
Utakua una upungufu wa akili siyo bure
Wewe ndio chizi duniani poteUtakua una upungufu wa akili siyo bure
Sawa lkn jana Usiku Telaviv kimetua kitu kizito..!!!Ndege zitakuwa zinaruka around the clock hata huo muda wa kurusha rockets watakuwa hawana.
sikia ndugu unaposema yemen unaongea nchi ya yemen ambayo yenyewe haijaingia vitani na wamerekani,usikurupuke kuongea kitu kama hujui,kuna nchi ya yemen ambayo ina serikali yake ambayo nayo inapigana vita na wahouthiWahouth ndio wayemen wenyewe au unadhani ni wamarekani
Msije mkalalamika baadae...Hamas mliwasifia sanaSawa lkn faaam tu YEMEN ilishambuliwa siku ya J mosi jpili YEMEN Wakajibu kuitandika iyo meli iliobeba ndege zilizoenda kuitwanga Yemen !!!!
YEMEN ndio walitoa habari iyo kuwa wameitwanga mala3 mwisho jana j3.
Tangu shambulio la j.mos marekani ajafanya lengine uko YEMEN na badala yake tumemsilkia Tramp akilalamika kuusu IRAN kuwasaidia Wahouth!!!
Yani yeye sawa kusaidia waisrael kuuwa watoto wa Gaza!!!!
lkn yeye kupigwa Meli yake tu analalamika!!!!!
Msije kulalamika baadae na kusema Marekani muuajiHiyo meli inayobeba ndege ndio iliyopigwa Jana na sasa haifanyi kazi. Sasa jiulize mwenyewe kama imepigwa na jambia utajua mwenyewe.
Hunaujualo.Sawa lkn faaam tu YEMEN ilishambuliwa siku ya J mosi jpili YEMEN Wakajibu kuitandika iyo meli iliobeba ndege zilizoenda kuitwanga Yemen !!!!