Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,506
Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen.
Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari kwa maslahi yeyote ya marekani katika eneo la mashariki ya kati yapo hatarini.
Aidha amri ya kutopitisha meli yeyote ya Marekani katika redsea inaendelea.hii ni pamoja na meli zote zinazoelekea Israel mpaka Gaza itakaporuhusiwa kupokea misaada na chakula.
Mpaka sasa marekani haijatoka taarifa yeyote baada ya Jana Yemen kuzuia mashambulizi ya ndege za marekani zilizogeuzia njiani hapo Jana .