jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,524
- 43,542
Kobazi akili zao,soon tutaanza kuletewa hashtag za pray for Yemen.
Are you serious?! Hawa ragtag Millitias waliolewa mirungi wanaweza kupambana na the only super power of our times?!Wachague popote wanapopataka dose ya wayemen ipo pale pale. Angalizo nchi yeyote itakayoisaidia marekani inajiweka kwenye hatari.
Hiyo imetangazwa na pro western account basi ili uamini. JisomeeAre you serious?! Hawa ragtag Millitias waliolewa mirungi wanaweza kupambana na the only super power of our times?!
Wanaopigana ni kina nani na nani? Au umeona wachina hapo na wanyakyusa wenzako?Hii siyo vita ya waarabu ni vita ya kupigania Uhuru wa palestina na kuondoa ubeberu wa marekani.
Ayatolah ndio anatafutwa hapo hivi bado hujausoma mchezo?!Hiyo imetangazwa na pro western account basi ili uamini. Jisomee
View attachment 3275462
Mbona afghanistani walikimbiasisimizi anawaza kugombana na Tembo.Kweli dini ni ujinga yani wana amini hadithi walizozitunga wao kuwa watashinda vita kama walivyotunga
Aah wapi kama walishindwa kwenye zile operation true promise 1 and 2 kwa sasa wasubiri tu operation true promise 3Ayatolah ndio anatafutwa hapo hivi bado hujausoma mchezo?!
Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen.
Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari kwa maslahi yeyote ya marekani katika eneo la mashariki ya kati yapo hatarini.
Aidha amri ya kutopitisha meli yeyote ya Marekani katika redsea inaendelea.hii ni pamoja na meli zote zinazoelekea Israel mpaka Gaza itakaporuhusiwa kupokea misaada na chakula.
Mpaka sasa marekani haijatoka taarifa yeyote baada ya Jana Yemen kuzuia mashambulizi ya ndege za marekani zilizogeuzia njiani hapo Jana .View attachment 3275406
Sawa lkn faaam tu YEMEN ilishambuliwa siku ya J mosi jpili YEMEN Wakajibu kuitandika iyo meli iliobeba ndege zilizoenda kuitwanga Yemen !!!!
YEMEN ndio walitoa habari iyo kuwa wameitwanga mala3 mwisho jana j3.
Tangu shambulio la j.mos marekani ajafanya lengine uko YEMEN na badala yake tumemsilkia Tramp akilalamika kuusu IRAN kuwasaidia Wahouth!!!
Yani yeye sawa kusaidia waisrael kuuwa watoto wa Gaza!!!!
lkn yeye kupigwa Meli yake tu analalamika!!!!!
Naona umechanganyikiwaKumbe Yemen wana Allah wao hapo hapo!!
Dunia inaharibiwa na marekaniDunia ili iwe na amani marekani inatakiwa ifutwe kabisa
TalebanAre you serious?! Hawa ragtag Millitias waliolewa mirungi wanaweza kupambana na the only super power of our times?!
Marekani iliamua tu kuondoka.Taleban
Siku zote hizo anatafutwa tu!!Ayatolah ndio anatafutwa hapo hivi bado hujausoma mchezo?!
Uamue kuondoka kwa kukurupuka vile ukiacha vifaa vita kibao na bila kuwataarifu washirikaMarekani iliamua tu kuondoka.
Mkuuu unajua umbali kutoka ISRAEL adi Yemen na kutoka apo Yemen na Somaliland ikiwa Israel km 2000+ na Yemen bado Yemen anakubutua kwa dkk 11 tu vipi apo jilan yake!!!!Marekani walikuwa wanataka Base ya kudumu pale Somaliland ili wawe karibu na kutoa Dozi kwa ufanisi.
Ndege zitakuwa zinaruka around the clock hata huo muda wa kurusha rockets watakuwa hawana.Mkuuu unajua umbali kutoka ISRAEL adi Yemen na kutoka apo Yemen na Somaliland ikiwa Israel km 2000+ na Yemen bado Yemen anakubutua kwa dkk 11 tu vipi apo jilan yake!!!!