Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

Sawa lkn jana Usiku Telaviv kimetua kitu kizito..!!!

Chengine Iran anajua iyo mbinu ya kupiga seem ilipotoka kombora ndio mana unaona Yemen bado anarusha Moto.. usiku na mchana..
Lile kombora limetuwa Sham Al Sheikh Egypt serikali ya Misri imewaambia Houthi waombe radhi.
 
sikia ndugu unaposema yemen unaongea nchi ya yemen ambayo yenyewe haijaingia vitani na wamerekani,usikurupuke kuongea kitu kama hujui,kuna nchi ya yemen ambayo ina serikali yake ambayo nayo inapigana vita na wahouthi
Sasa wahouth si Wananchi wa Yemen au wao wametoka wapi? Ni sawa na useme leo chadema waanze kupigana na CCM halafu useme chadema siyo watanzania
 
Sasa wahouth si Wananchi wa Yemen au wao wametoka wapi? Ni sawa na useme leo chadema waanze kupigana na CCM halafu useme chadema siyo watanzania
unajua tofautisha nchi ambayo ina kabila wayemen na taifa ni yemen,ukisema wayemen wameingia vitani na wamerekani maana yake ni wayemen wote,lakini hoko yemen sehemu moja ya wayemen waitwao,wahouthi ndio wanaopigana na wamarekani,kuwahukumu wayemeni wote wako vitani na wamerekani sio sahihi
 
Back
Top Bottom