Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 183
Mnakazi.mlichelewa soma ndugu...angalia shule zinazoongoza ni za wakristu......na mkileta udini wenu 2015 tutawanyosha
Mtawanyoosha kwavile chadema itachukua nchi eti eee....
Mnakazi.mlichelewa soma ndugu...angalia shule zinazoongoza ni za wakristu......na mkileta udini wenu 2015 tutawanyosha
Kule hakuna takbill !!! Alah wakubal .na wala necta haiulizi maswali ya mtume s.a.w maislam mengi kichwan hakuna kitu mi takbill ndio imewajaa vichwani halafu mnamsingizia ndalichako, haya mmepunguziwa marks hadi 19 lakini hakun hata mmoja wa waislam aliye shika top 100 achilia mbali top 10. Someni nyie achen kulalama mitihani sio quraan
Dada mbona Mh. Rais nimuislam lakini mbona zile hoja hasa za mahakama za kazi alizitupa kando huyu wa necta ndy
ataleta mabadiliko?..
Pigeni msuli msitafute slop!...
elimu na uwezo mfupi kama suruali zao
elimu na uwezo mfupi kama suruali zao
Nilikuwa nakuheshimu sana dada yangu lakini kwa mchango wako huu,
Umejipunguzia Heshima ya Utu wako na Umewapatia Heshima ya Mashaka
watu waliokuheshimu kwa muda mrefu pamoja na waislamu wenzako.
Nijambo la aibu ktk zama hizi kuingiza chembechembe za udini kwenye Professionalism
ktk utendaji. hupaswi kujutia kuwa muislamu, kinachotakiwa ni kusoma kwa juhudi
na mhimizane kubadilika. Nyinyi upande wa pili wa dini kuna mambo fulani mlishakosea
huko nyuma ndo kinachowatafuna hadi sasa na mnadhani adui yenu ni NECTA
chini ya NDALICHAKO, Real you are fighting the wrong enemy.
Hapa ndo mnaponikumbusha Luddism na chartism huko England.
I stand to be corrected.
Wewe hujitambui hata kidogo, hata angeishika mtume Muhammad hutafaulu kama husomi
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
Kule hakuna takbill !!! Alah wakubal .na wala necta haiulizi maswali ya mtume s.a.w maislam mengi kichwan hakuna kitu mi takbill ndio imewajaa vichwani halafu mnamsingizia ndalichako, haya mmepunguziwa marks hadi 19 lakini hakun hata mmoja wa waislam aliye shika top 100 achilia mbali top 10. Someni nyie achen kulalama mitihani sio quraan
mm nlisoma shule ya mchanganyiko wa dini mkoan DSM shulee maarufu mnamo 2002 rector alidiriki kuwaambia wanafunzii wa kiislam wasomee waachane na mambo ya kudai sehem ya kusali ktk shule kama hawataki waondokee kabla ya wastani wa shule kuwapiga xhini.Amin usiamin jamaa hawakuhama na tukamaliza nao F4 wakapata div.1 and div.2.wakaenda shule nzurii za govt mzmb,ilbor,tv boys Enzi izoo hot sana....but Chuo cjawaona hata mmoja ila nimepata bahati ya kukutana na mmoja ye Yu BOT tukaongea mengii sana na lile la udin shulen jamaa anasema kama c rector sijui angelikuwa wapi maana wengii wamepoteaaa balaaaWallahi kufuatia kutoka kwa ndalichako tumeanza kuona mabadiliko hebu tazamana Nyasaka Islamic, Kilinjiko Islamic, Mudio Islamic,Ubungo Islamic,Algebra Islamic, katoro Islamic,Taqwa,Darul alqam Morogoro,Daarul alqam dsm,just kwa uchache tu,lakini enzi za ndalichako ni balaa,sijui alikuwa ananufaika na nini kuwafelisha waislam . Ni ajabu sana watu wanatekeleza mikakati ya kuwafelisha kwa maksudi wananchi wa Tanzania kisa dini.Kwa upuuzi huu ndiyo maana nchi haiendelei
KUMBE SI BURE, WATU WAME KAMIANA KI HIVI KAMA MPIRA WA CONNER!! tusubiri tuone mwisho wake..Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
kwani Raisi Yuko ikulu kwa sababu ya elimu yake na sio kwa ridhaa ya wananchi wake wa dini zote!!?Teh Teh Teh... Acha chuki na waislamu, uislamu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo. Hiki ndio kitu gani Takbil, Alah wakubal usiandike vitu usivyovijua! Hakuna haki pale NECTA sisi tunaiita parokia. Pale ni machinjio ya waislamu.Nani rais wako hivi sasa mkristo!!!
KUMBE SI BURE, WATU WAME KAMIANA KI HIVI KAMA MPIRA WA CONNER!! tusubiri tuone mwisho wake..