Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

kwa upande wangu namuunga mkono faizafox! ile ni taasisi ya umma. waislamu wamelalamika kwa miaka mingi kuwa NECTA imekua machinjio ya waislamu ili wasiende vyuo vikuu. awekwe muislamu ili haki itendeke.

sadakta mkuu, tunataka watu waadilifu kushika nafasi nyeti kama hii.
 
Ondoeni sheria ya ugaid basi!

Hata kama mimi ningekuwa ninafanya kazi katika shirika la misaada ya Waislamu sitakubali kuidhinisha mamilioni ya pesa za sadaka za wavuja jasho Waislamu kwenda kujenga shule na miradi mbalimbali kwa Waislamu wa Tanzania "only" kuja kuambiwa kuwa miradi inawafadhili magaidi na ugaidi hivyo kuishiwa kutaifishwa.

Huo ni uzembe tu! Where or how in this country are you allowed to sneak-in with support funds only to be used for prayer structures and not for hospitals and good schools? Mbona tende zinaingia.

wewe ni mzembe! Muslim university ya pale morogoro imeshindwa kukuwa kwa sababu zipi? Kuna aliyezuiya kupatiwa misaada? Chuo kibovu hakuna maendeleo ya taaluma halafu eti kinapewa misaada ya kuanzisha redio ya mihadhara!

Hata Hilo unahitaji msaada wa kufikiri! Misaada munapata mingi, tatizo hakuna anayejua nini kifanyike. Unapoomba tende na tasbih, vilemba vya Arafat, misikiti na marumaru, spika, what do you expect?
 
Hukunielewa!

Kutokuhakikishiwa usalama wa mali za Waislamu (kuwa hazitataifishwa) ndiko kunakotufanya Waislamu tuishie kuleteana tende,tasbihi,vilemba, spika n.k
 
Unao mfano wa kunyang'anywa Mali kwa sababu kama hiyo?

Kama ni mfano, wakristu ndo walishapoteza nchi hii. Shule zao zilitaifishwa. Hata majengo yakachukuliwa kwa sababu za kisiasa lakini Leo hii ndo wanaongoza kwa kujenga.

Waislamu wana visingizio vingi bila hata sababu. Watasema wanagandamizwa ktk elimu kama wajinga wanavyoendelea kueleza hapa JF.

Nimeuliza tena na tena kwamba anayeruhusu ujenzi wa misikiti ni nani? Utaruhusiwaje kujenga misikiti uzuiliwe kujenga shule au hospitali.

Igeni ukristu! Kila wanapoweka kanisa, pia wataweka shule au hospitali. Ninyi munaweka maduka ya kuuza mazulia. Poor! Very poor planning.
 
Umemsahau yule Mu-Algeria wa taasisi ya shirika la misaada Al-haramain aliyekamatwa kwa kuwa ni "gaidi" na kupelekwa Guantanamo halafu akaachiwa bila maelezo yoyote!

Alikuwa na mpango wa mradi kule Tanga ambao ungegharimu mamilioni ya dola za Kimarekani, fikiria kama ungekamilika nani ana uhakika kuwa usingetaifishwa wakati Al-haramain haohao walikuwa na milioni ya dola ambazo Marekani alikuwa amezi-freeze?
 
failure za waislam huwa wanasingiziwa wakristo...sijui failure za wakristo anasingiziwa nani ...labda shetani ndio maana wanayakemea sana
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Mnakazi.mlichelewa soma ndugu...angalia shule zinazoongoza ni za wakristu......na mkileta udini wenu 2015 tutawanyosha
 
Necta magumashi tupu wanatanua goli ili kuongeZa magoli sasa hiyo akili au utumbo
 
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha
[/QUOTE

Asante kanisa kwa kuwalea vizuri watoto kiroho na kielimu-ufaulu mzuri shule za kanisa
 
sadakta mkuu, tunataka watu waadilifu kushika nafasi nyeti kama hii.
Kule hakuna takbill !!! Alah wakubal .na wala necta haiulizi maswali ya mtume s.a.w maislam mengi kichwan hakuna kitu mi takbill ndio imewajaa vichwani halafu mnamsingizia ndalichako, haya mmepunguziwa marks hadi 19 lakini hakun hata mmoja wa waislam aliye shika top 100 achilia mbali top 10. Someni nyie achen kulalama mitihani sio quraan
 
waambie hawa maana wana ubongo wa kuku kazi kupiga kelele tunaonewa,tunanyanyaswa mapumbavu sana huku mashuleni hawana muda wa kusoma kazi kuleta sheria za dini kwenye masuala ya taratibu za shule,mwinyi aliwaambia wasome wakamkasirikia waache wabakie kukukata suruali ndio elimu yao iliyobakia kichwani
 
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha

Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Wewe hujitambui hata kidogo, hata angeishika mtume Muhammad hutafaulu kama husomi
 
Wallahi kufuatia kutoka kwa ndalichako tumeanza kuona mabadiliko hebu tazamana Nyasaka Islamic, Kilinjiko Islamic, Mudio Islamic,Ubungo Islamic,Algebra Islamic, katoro Islamic,Taqwa,Darul alqam Morogoro,Daarul alqam dsm,just kwa uchache tu,lakini enzi za ndalichako ni balaa,sijui alikuwa ananufaika na nini kuwafelisha waislam . Ni ajabu sana watu wanatekeleza mikakati ya kuwafelisha kwa maksudi wananchi wa Tanzania kisa dini.Kwa upuuzi huu ndiyo maana nchi haiendelei
 
Sio shinikizo la kisiasa,waislamu walikua hawamtaki ndalichako,ila huji kuwasikia wakimlaumu kawambwa licha ya kushusha elimu siku hizi point 28 ni division three!
 
Mnakazi.mlichelewa soma ndugu...angalia shule zinazoongoza ni za wakristu......na mkileta udini wenu 2015 tutawanyosha

Mkiliona neno Uislaam basi mnataharuki na kuogopa, wacha uoga wa kudanganywa njoo kwenye dini ya haki.
 
Back
Top Bottom