Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Mkuu umekaririshwa ila hivyo vichwa hujakutana navyo chuoni ulizia watu wanaopiga GPA kali ma vyuoni wengi wao

wametoka shule zipi?..

Wale wanafaulu kulingana na mifumo mizuri ya ufundishaji na wala siyo kuiba pepa fuatilia ujue acha u-yakheee!...

Jamaa mnajiona mnasoma kinoma....xul zenu za kina ST flani hamna kitu...hao vilaza tukikutana nao ADVANCE na chuo tunakimbiza mbaya mpaka twajiuliza MARKS ZA NECTA WAMENUNUA how much kwa Ndalichako!
 
Necta magumashi tupu wanatanua goli ili kuongeZa magoli sasa hiyo akili au utumbo

Ndalichako na yule mjamaa aliyemtangulia wamefanyia vijana madhambi sana.watajihukumu sana huko waendapo.wamefanya mengi kwa kutaka sifa bila kujali haki za wengine.aondoke tu.
 
Mkuu umekaririshwa ila hivyo vichwa hujakutana navyo chuoni ulizia watu wanaopiga GPA kali ma vyuoni wengi wao

wametoka shule zipi?..

Wale wanafaulu kulingana na mifumo mizuri ya ufundishaji na wala siyo kuiba pepa fuatilia ujue acha u-yakheee!...
Labda kama unasoma chuo cha ST pia...lakini vyuoni kwetu sisi watabe ni from SPECIAL xul tu!!
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kumbe wewe mdini kiasi hiki???? no wonder ni shabiki mkubwa wa SSM
 
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha

Mkuu:Ndalichako,ameacha kazi,amefukuzwa au yuko likizo?
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
una matatizo nenda prepal mmeonewaaaa, namba zimeandikwa dini tatzo ninyi mnakalia kahawa acha mbulutwe
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

ㄱㄴㄷㅈㅅㅍㅇㅅㄷㅅㅈㅁㅅㅍㅅㅅㅈㅎㅈㄴㄷ므ㅃㅇㅈ.ㅅㅈㅎㄹㅆㅊㅎㅈㄷㄴㅋㄹㄴㅋㄴㄴᆞㅅㅀㄷㅎㄴㄷ
 
Hukunielewa!

Kutokuhakikishiwa usalama wa mali za Waislamu (kuwa hazitataifishwa) ndiko kunakotufanya Waislamu tuishie kuleteana tende,tasbihi,vilemba, spika n.k

Endeleeni na hofu zenu zisizo na maana huku wenzenu wakisonga mbele kwa kujenga shule na universities. Hata hivyo hamkatazwi kusoma kwenye hizo shule na kamaunabisha muulize Makamba na Kikwete!!

Punguzeni kulalamika kila siku. Tumieni fursa zilizojaa tele. Hata akija muislamu ndo atasahihisha mitihani yote ya waislamu na kuwapa A hata kama wamefeli??
 
Atakumbukwa kwa sifa moja kubwa; amefanikiwa kuwapaisha watahiniwa wenye itikadi kama yake huku akiwasulubu wale wenye kudhulumiwa toka uhuru wa nchi hii ...
 
Endeleeni na hofu zenu zisizo na maana huku wenzenu wakisonga mbele kwa kujenga shule na universities. Hata hivyo hamkatazwi kusoma kwenye hizo shule na kamaunabisha muulize Makamba na Kikwete!!

Punguzeni kulalamika kila siku. Tumieni fursa zilizojaa tele. Hata akija muislamu ndo atasahihisha mitihani yote ya waislamu na kuwapa A hata kama wamefeli??
huyu jamaa anatumia miguu kufiki mkuu!!!
 
Kuondoka kwa Dr. Ndalichako ni aibu kubwa kwa Serikali. Dr. Ndalichako alisimamia haki na alikuwa mtendaji mzuri asiye na mfano. Mtakuja kumkumbuka Dr. Ndalichako wakati Tanzania itakapokuwa nchi yenye wasomi wajinga na kuchekwa na nchi jirani zetu. Usife moyo Dr. Ndalichako hii ndiyo Serikali ya awamu ya nne.
bado unamsimamo huu huu?
 
Back
Top Bottom