Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 775
perinikweli, ndalichako aondolewe kabisa na mfumo mzima wa necta ubadilishwe.
===>Kuondoka ataondoka maana hakuna mtu atakae kaa pale milele,lakini tuliangalie suala hili kwa jicho la tatu,
1---ubora wa elimu yetu na ufaulu wa watoto wetu utabadilishwa na kuondoka kwa ndalichako?
2---Maslahi ya walimu yanarekebishwa na kiongozi mpya wa NECTA atakae kuja?
3---Uhaba wa madawati,Maabara na nyumba za walimu zitaletwa na kiongozi mpya wa NECTA?
===>Twende mbali zaidi jamani,Ndalichako ni mpimaji tu wa hiyo elimu
Last edited by a moderator: