Yanga ndiyo platform ya wachezaji kucheza timu kubwa

Watu wanaongelea vitu vya maana wewe unasema final ya mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Ndio hayo mliyokuwa mnaturingishia medali na kutuambia tuwalipe kwa kufika fainali kama nyie haya kiko wapi sasa
 
Yanga ilicheza CAFCC iliyokuwa na timu bingwa kutoka mataifa Yao
Hii UMISETA imejaa timu mbovu za Simba na Coast union
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Huyu Nongwa Shaaban alicheza Simba lini?
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Kanoute.
 
Simba ilishauza mchezaji kwa team kubwa Bara la Africa, Al Ahly, nae si mwingine ni Fahari ya Tete, Luis Josee Miquison.

Utopolo hamna jipya la kuwaambia Simba. Poleeni Utoz.
 
Yanga hii hii yenye michezo mikubwa miwili na simba ingemuachia kiwepesi hivi?? Jamaa kaondoka huru
 
Tim zinazo shirk klab bingwa ya Dunia zimepewa ruhusa ya kusajili kabla ya dirisha la usajili
 
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi

Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa

Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu

Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France

Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid

Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu

Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani

Kila la heri Aziz ki
Mayele hakuwa mchezaji wa yanga waliopata Hela ni manyema ni sawa na baleke au max auzwe hakuna kitu yanga wanapata
 
Wew mayele hakuwai cheza manyema alitika As vita club na kwa nin yanga isipate Hela kwa mchezaj wake? Lete ushahid
 
nonga shaban
Huyu alichezea Simba mwaka gani, aliuzwa kwenda timu gani, raia wa nchi gani?
Tunamkumbuka Monday Shabani alietokea DRC akachezea Yanga kisha akaenda SA na kuelekea Ulaya.
 
Yanga ilicheza CAFCC iliyokuwa na timu bingwa kutoka mataifa Yao
Hii UMISETA imejaa timu mbovu za Simba na Coast union
Pumbavuu wadanganyeni watoto wenu lete takwimu za hizo timu au unataka nikuwekee hapa, katika timu zote mlizocheza nazo ninyi hakukuwa na bingwa hata mmoja kwenye ligi zao kwa msimu ule hata huyo usm alger hakuwa bingwa, na tena timu nyingine mlizocheza nazo zilikuwa zinashuka daraja ilihali simba kacheza na timu zilizopo top four kwenye ligi zao na huyu berkane msimu huu kachukua ubingwa wa ligi
 
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi

Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa

Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu

Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France

Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid

Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu

Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani

Kila la heri Aziz ki
Haozk bange
 
Back
Top Bottom