gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,801
- 18,465
Samatta?Nonda Shaban mlimuuza ulaya ipi? Hakuondoka yanga kwa kutorokea south yule?

Hiyo Barnley inacheza ligi gani huko England mkuu?Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa
Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu
Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France
Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid
Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu
Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Kila la heri Aziz ki
Nonga Shaban? au Nonda Shaban.Hapo umechemka.Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Nonda SHABANI hajawahi kuwa KoloSamatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Nonga shaban ndio mchezaji gani,makolo mbona mnapenda kumpa pointi rage kizembe namna hii!Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Ngoja sasa nifuatilie taarabu toka kwa Makolo...Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa
Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu
Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France
Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid
Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu
Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Kila la heri Aziz ki
Muambie tu Nonda alicheza Yanga sio ukoloni...Samatta katokea Mazembe
Nonda Shaban hakuwahi kucheza umbumbumbuni
Sakho hakuuzwa mkataba uliisha
Waambie! Waambie.Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa
Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu
Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France
Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid
Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu
Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Kila la heri Aziz ki
Watoto wa 200 hawezi kukuelewa Kuna samarta wa simba kacheza EPLSamatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Tukutane June 15Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France
Timu aliyoenda sakho ni sawa na kucheza ligi ya mkoa hapa Tz.Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Hiyo haipo kwenye ratiba bado, tukutane June 15 iliyopangiwa ratiba kabisaKama mnajiamini njoo final ya CRDB confederation cup
Samatta alitokea simba na si yanga,Samatta?