ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,703
- 39,177
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa
Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu
Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France
Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid
Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu
Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Kila la heri Aziz ki