Yanga ndiyo platform ya wachezaji kucheza timu kubwa

Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi

Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa

Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu

Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France

Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid

Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu

Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani

Kila la heri Aziz ki
Umezaliwa mwaka 2015???
 
Mechi na Fountain Gate lazima mnyama ajiangushe jamaa wajipigie kuliko kukutana na Yanga fainali CRDB , nimeona vyuma vimerudi dimbani kina Aucho!!
Ww unamiliki ujinga SFG ama SBS? U are full baby Monkey from. UTOPOLONI by Lucy Eyamel
 
Mechi na Fountain Gate lazima mnyama ajiangushe jamaa wajipigie kuliko kukutana na Yanga fainali CRDB , nimeona vyuma vimerudi dimbani kina Aucho!!
Duuh fountain gate tena kweli utopolo ni utopolo tu, halafu huyo aucho alikuwa wapi siku ile mlipokanyagwa tatu na tabora, kocha mwenyewe kwa sasa ameshaonesha kumuamini abuya kuliko aucho kwenye ile nafasi
 
Wew aucho aliumia
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Hadi Nonda Shabani kweli wewe una mavi matakoni..
 
Unaleta visingizio lakn kumbuka yanga ilipokuwa mbov mlikuwa hamtufung hovyo
Sawa ila kumbuka simba hata ilipokuwa mbovu kiasi gani haijawahi kuishia hatua ya makundi klabu bingwa, na hata msimu huu mnasema simba mbovu ila tumefika fainali cafcc ambako ninyi mlifika mkiwa na kikosi bora, mlikuwa na striker bora kama mayele ila mlishindwa kuchukua hili kombe ila sisi tumefika hapa tukiwa na kikosi kipya na bado tunajenga timu
 
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi

Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa

Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu

Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France

Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid

Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu

Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani

Kila la heri Aziz ki
Kuna namna flan hyo miiko ya nyuma inaleta athari mpk kwenye ubongo ...umesema nn Burnley na Olympic Marseille 😂...na mavyura yatakuunga mkono na kamba zako
 
Na ndio team inayoongoza kwa kupigwa faini Caf mpaka sasa washalipa zaidi ya billion mbili na mwanasheria wao kilaza.
 
Hili kombe linaanza mwaka huu lile la sammata lilikuwa la tim moja kutoka kila bara

Kingine Samara kacheza Aston villa haitotokea yanga awe mbele ya simba kinachotokea nimarudio tuu Luis micson alisajiliwa na Tim Bora afrka yote acha na ivo vitimu vyenu
 
Sawa ila kumbuka simba hata ilipokuwa mbovu kiasi gani haijawahi kuishia hatua ya makundi klabu bingwa, na hata msimu huu mnasema simba mbovu ila tumefika fainali cafcc ambako ninyi mlifika mkiwa na kikosi bora, mlikuwa na striker bora kama mayele ila mlishindwa kuchukua hili kombe ila sisi tumefika hapa tukiwa na kikosi kipya na bado tunajenga timu
Watu wanaongelea vitu vya maana wewe unasema final ya mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
 
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi

Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa

Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu

Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France

Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid

Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu

Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani

Kila la heri Aziz ki
Mnyambo wa kyerwa kuna kitu umesahau.. Yanga ilimuuza Kindoki Inter Milan kwa Bilioni 16.3 na Kambole Raja kwa billioni 5.5
 
Back
Top Bottom