Siku hizi unashindwa kabisa kujenga hoja why unaokoteza uzushi na kuanzisha mada while yapo matatizo mengi yako clear unaweza ukayaandika vizuri
Heading ni swali lakini content tayari umeshaijaza propaganda na kuwaaminisha watu kama kule ulivyowaaminisha watu naona na hapa unatumia style ileile
Hapo kwenye Heading na Content ndio aliponishangaza ndugu. Badala ya kujenga Hoja ili tupingane au kuelimishana na Hoja. Anakuja na Propaganda za kizandiki. Anasikitisha sana.Siku hizi unashindwa kabisa kujenga hoja why unaokoteza uzushi na kuanzisha mada while yapo matatizo mengi yako clear unaweza ukayaandika vizuri
Heading ni swali lakini content tayari umeshaijaza propaganda na kuwaaminisha watu kama kule ulivyowaaminisha watu naona na hapa unatumia style ileile
Chadema inaingiaje kwenye huu mjadala?Wa
Waislamu na Uislamu unaingiaje hapa?
Mkuu kama una risiti tuletee humu
kuna wabishi kabisa
Kwakuwa watanzania wote tunalingana kipato au? Hivi unatambua ni watanzania wangapi wanaishi below poverty line wewe au unakurupuka tu kuandika upuuzi? Hizo kodi mnazokusanya kila kona zinaelekezwa wapi kama hata vipaumbele vya msingi havizingatiwi?Labda hii ndiyo itapelekea kila Mtanzania kujuwa umuhimu wa kujichukulia bima ya afya.
Hapo kwenye Heading na Content ndio aliponishangaza ndugu. Badala ya kujenga Hoja ili tupingane au kuelimishana na Hoja. Anakuja na Propaganda za kizandiki. Anasikitisha sana.
Kwani kina Godwin Gondwe, Juma Nkamia, Novatus Makunga, Betty Mkwasa et al hao sio waandishi tena wa calibre ya juu kabisa!!Hatuna waandishi wa habari Tanzania!!!
Naikumbuka hiyo ndugu. Watu Kama huyu jamaa ni hatari sana katika jamii. Wanaendesha propaganda za chuki. Nilikuwa Rwanda February 1994, walipuuzia Wazandiki Kama hawa waliopandikiza chuki mioyoni kwa watu. Matokeo yake tunayajua huko Rwanda. Ndio maana huwa sipendi sana watu wa aina hii.Aliwahi anzisha mada kama hii akisema Majaliwa ni mkristu akawa anatoa ushaidi kabisa
Nijuavyo huduma za MCH ni bure nchi nzima kwa hospitali zote za serikali na binafsi. Sijui kama kuna mabadiliko.Mkuu Paskali naomba ulifuatilie ukipata nafasi
mimi nimeambiwa hata wagonjwa wa hospitali za wilayani hawataki
kupewa referral muhimbili sababu wakipelekwa wana chajiwa
na hasa huduma ya 'mama na mtoto'
na 'wajawazito'
Yaani mjamzito yuko mwananyamala anatakiwa kupewa referral akajifungue muhimbili mfano
Yani haya majibu yako itakuwa hu kutumia kichwa kufikiri Bali kilikuwa kimekatwa pembeni. Comment yangu ni very poor kwa huo utetezi wako kwahyo ili kupunguza watu the only solution ilikuwa kupandisha bei? Maajabu haya nijuavyo Muhimbili hawakupokei bila kupitia kuanzia Sinza , mwananyamala sasa huo utetezi wako hauna logic.
watu wanataka ukweli POVU za nini? kama wanadanganya lete ukweliSikilizeni CHADEMA mbinu yenu ya kuichonganisha serikali na wananchi kwa kupika habari za uongo na kuzisambaza kupitia mitandao ya jamii acheni,Siku hizi kwa makusudi mnafanya disinformation za kauli za viongozi kama Ndalichako, mnatunga uzushi na kuueneza, Acheni tabia hizi!
Kwa pesa zipi? Ilhali serikali imewanyanganya vyanzo vya mapato? Wakati hata pesa za maendeleo majimboni mpaka sasa hazijatoka, hata majimbo ya CCM yenyewe hoi.Hizo zahanati kwaninu zisijengwe na masalia ya wahanga wa KAGERA?Dar inamilikiwa na kuongozwa na chadema. Wamejenga vituo vya afya vingapi?
Muhimbili ninhospitali ya taifa. Wakazi wa Dar daini jospitali za kata wilaya na mkoa. Halmashauri na serikali kuu wote wanahisika.
Huo mhimili nafikiri Tanzania ingefaidika zaidi, Kama Mungu akausaidia ukajichimbia Six feet under!Muwe watulivu nchi inanyooshwa na katiba imewekwa pembeni na ule muhimili uliojichimbia zaidi kwenda chini
Na pale lazima uandikiwe barua ya kwenda pale bila hivo hawakupokei hata hivo haihalalishi kupandisha bei kubwa huo ni ujinga na kukwepa jukumu la kutoa huduma, sasa ka hospital za wilaya zingekuwa vzuri idadi ya wagonjwa ingepungua muhimbili, kwa hii Dar hospital nyingi Mara xray hazifanyi kazi nenda Muhimbili sasa unategemea nini?muhimbili ni national referal hospital sasa mtu anajipeleka MNH bila kuwa na referal letter , lazima upigwe tu