Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Wewe ndio mgonjwa kweli kweli!kila kitu cdm inaelekea ukishinda bila kuitaja cdm uoni raha
Mpuuzeni huyo Eliza still yuko blanketed hajui lolote ni hasara kwa mama yake na taifa kwa ujumla
 
Sasa kama kila kona taarifa ni za kupika unategemea pesa ya itoke wapi?.........

Leo mtu anatoa taarifa kesho uyo uyo anaikanusha kwa maelekezo toka juu....

Kiufupi uchumi umekufa tunasubiri sanda na kuosha tufanye mazishi.........

Hivi wewe huwa unafanya kazi kweli? Halafu hapo ulalamike uchumi unakufa!
 
Kwa akili ya kawaida nadhani hili haliwekeni. Hiyo tofauti ni kubwa sana kuijustfy wa la watu kumudu. Ila uhakika ni kuwa baadhi ya huduma zilizokuwa zikitolewa zamani kwa misaada ya wahisani (waliojiondoa) au miradi kwisha inawezekana kukawa na tozo. Sasa ni za kiwango gani? hilo sijui.
 
..Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/...

Kutoka forty mpaka kilo 4? Hii bila shaka si kweli. Serikali sikivu ya wanyonge bila shaka haiwezi kuruhusu kitu kama hiki.
 
Hii pia iko Hospitali ya Rufaa Bugando,kitanda kulaza mgonjwa siku tatu 400,000/,zikiisha siku tatu unalipa tena 400,000/=

operesheni ya uzazi 300,000/=
Hii ni nje ya vipimo,madawa,na huduma mbalimbali

kama huna huhudumiwi kabisa na unarudishwa

Na hii hospitali inahudumia rufaa za mikoa karibu 7
 
Sikilizeni CHADEMA mbinu yenu ya kuichonganisha serikali na wananchi kwa kupika habari za uongo na kuzisambaza kupitia mitandao ya jamii acheni,Siku hizi kwa makusudi mnafanya disinformation za kauli za viongozi kama Ndalichako, mnatunga uzushi na kuueneza, Acheni tabia hizi!
 
Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.

Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.

Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.

Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.

Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?

Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?

Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip

Yawezekana ,maana kuna siku walitoa tangazo la kukosekana kwa petty cash
 
Ninaye Mtu Wa Karibu Alikuwa MNH Wiki Hii Alimpeleka Mtoto Wa Miezi Kumi Kupata Huduma
Pembeni Kuna Bango Limeandikwa"Mtoto Chini Ya Miaka Mitano Ni Bure"

Kufika Ndani Kabla Ya Huduma Aliambiwa Una Pesa Kiasi Kadhaa ? Kama Huna Hakuna Huduma Kwa Msisitizo Akaambiwa Hata Mtoto Chini Ya Miaka Mitano Analipiwa Huduma.

Kwahili Ni Jambo Kuhusu MNH Ni Kweli Huduma Yoyote Ni Pesa Tu
 
kuu walimtajia kiasi gani
kinacho shangaza sio tu kulipia ni amount
ni kubwa kuliko hospitali za private
 
Hii pia iko Hospitali ya Rufaa Bugando,kitanda kulaza mgonjwa siku tatu 400,000/,zikiisha siku tatu unalipa tena 400,000/=

operesheni ya uzazi 300,000/=
Hii ni nje ya vipimo,madawa,na huduma mbalimbali

kama huna huhudumiwi kabisa na unarudishwa

Na hii hospitali inahudumia rufaa za mikoa karibu 7

Bugando na Muhimbili rates zitakuwa sawa
 
Sikilizeni CHADEMA mbinu yenu ya kuichonganisha serikali na wananchi kwa kupika habari za uongo na kuzisambaza kupitia mitandao ya jamii acheni,Siku hizi kwa makusudi mnafanya disinformation za kauli za viongozi kama Ndalichako, mnatunga uzushi na kuueneza, Acheni tabia hizi!

Ndalichako waislam walishasema siku nyingi hafai
we kwako bado anafaa?
 
Back
Top Bottom