Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.

Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.

Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.

Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.

Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?

Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?

Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip
Utakua umepewa rates za wodi na huduma za fast track,muhimbili bado ni kimbilio la wanyonge,nenda kaone pale jakaya kikwete na clinic ya sukari
 
Endeleeni kuisoma! Sasa mnaishi kama mashetani mnahangaika kutengeneza habari za kipagani. Karibu sheria ya habari.
 
Labda hii ndiyo itapelekea kila Mtanzania kujuwa umuhimu wa kujichukulia bima ya afya.
Halafu wewe mwanamke huwa zinakutosha kweli?
Bima ipi ya afya mtanzania achukue? AAR, MEDEX, Strategy au unamaanisha Bima ya Jamhuri? Kama ni Hizo, Hizo siyo bima na nadhani ulimaanisha Hizo tu, Hizo ni ticket za Kuchezea watoto na siyo bima, hebu kakate wewe na wanao tuone Kama mtatibiwa.
Familia yako umeiacha Canada halafu unashinda humu kutetea mazombi ya Lumumba.
 
Utakua umepewa rates za wodi na huduma za fast track,muhimbili bado ni kimbilio la wanyonge,nenda kaone pale jakaya kikwete na clinic ya sukari

Weka hapa rates za huduma ya mama na mtoto
 
mh kwa hospitali ninayofanyia kazi tena nikubwa sana lakn hakuna upuuzi kama huo na gharama ni za kawaida sana kwa mwananchi wa kimagufuri kuziafford.
 
Hivi wewe huwa unafanya kazi kweli? Halafu hapo ulalamike uchumi unakufa!
Ibambasa unapata hasara gani au faida gani ukijua nafanyakazi au sifanyi?.......

Kutofanya kwangu kazi kumeizui familia yako kula kwa kuomba kwako pesa?........

Watu tunaongelea huduma ya afya kitu serious we ubaleta siasa fala sana we mjukuu wangu.....
 
Ninaye Mtu Wa Karibu Alikuwa MNH Wiki Hii Alimpeleka Mtoto Wa Miezi Kumi Kupata Huduma
Pembeni Kuna Bango Limeandikwa"Mtoto Chini Ya Miaka Mitano Ni Bure"

Kufika Ndani Kabla Ya Huduma Aliambiwa Una Pesa Kiasi Kadhaa ? Kama Huna Hakuna Huduma Kwa Msisitizo Akaambiwa Hata Mtoto Chini Ya Miaka Mitano Analipiwa Huduma.

Kwahili Ni Jambo Kuhusu MNH Ni Kweli Huduma Yoyote Ni Pesa Tu
Kuna kipindi ilitolewa taarifa kuwa serikali ilikuwa haipeleki fedha za kutosha katika hospitali hiyo na hivyo kusabisha wagonjwa kutozwa fedha ili kuiwezesha hospitali kumudu gharama kwahiyo hii habari inaweza ikawa na ukweli.
 
Weka hapa rates za huduma ya mama na mtoto
Clinic ya wajawazito pamoja na semina ni bure
Kujifungua kuna njia ya kawaida na operation lakini kwa operation haizidi 150,000 zingine cheki na msemaji wao yupo pale anajibu email ndani ya dakika 10
 
Sikilizeni CHADEMA mbinu yenu ya kuichonganisha serikali na wananchi kwa kupika habari za uongo na kuzisambaza kupitia mitandao ya jamii acheni,Siku hizi kwa makusudi mnafanya disinformation za kauli za viongozi kama Ndalichako, mnatunga uzushi na kuueneza, Acheni tabia hizi!
Sikiliza wewe zezeta la Lumumba, kila kitu kinajieleza wazi kabisa kuhusu hali ilivyo ngumu nchini hapa CHADEMA imekujaje?
Ni chadema ndo wamesitisha ajira?
Ni chadema ndo wamefunga kiwanda cha Dangote?
Ni chadema ndo wametoa pesa kwenye mabenki binafsi na kuyapeleka BOT?
Ni chadema ndo wanafukuza wawekezaji nchini?
Vijana wa Lumumba mnakera Sana, tabia zenu ni sawa na wanyama pori kabisa.
 
Kwa hiyo hata moderators wa JF siyo waandishi?
Hata wanaofanya kazi ikulu ktk kurugenzi ya mawasiliano nao siyo waandishi?
Kwa Sababu umesema hakuna waandishi Tanzania.
Mse*nge wewe unastahili ban.
Ujumbe wangu ule ni mkubwa sana wewe kuuelewa...ila angalia usipigwe ban wewe kwa kunitukana!
 
Kama ni kweli ni bora tusiugue maana gharama za matibabu ni mtaji
 
Back
Top Bottom