Nesi hahusiani na bima.
Chezea ukawa, wamechukua majiji,CCM lazima walale njaa, na mzee keshatumbua wafanyakazi hewa chimbo lingine la ccm. Watadai kodi hadi vyoo vya nyumbani.Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.
Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.
Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.
Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.
Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?
Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?
Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip
Kila kukicha unazidi kujuvua nguo hadharani. Ulikuwa mtu makini,sijui unaelekea wapi!?Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.
Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.
Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.
Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.
Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?
Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?
Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip
FaizaFoxy hakika Bima ya Afya Manesi huchukulia kama wewe ni maskini hukuona km hustahili kutibiwa. Nilishawahi msikia doctor nikiwa natibiwa japo mimi ninabima lakini siku hiyo sikutumia bima yangu nikaamua kufanya malipo...Mgonjwa alikuwa anahitaji matibabu haraka doctor akamwambia subiri, Doctor akamchukua mgonjwa wa nyuma ambaye ni mimi wa malipo akamuacha wa bima..baada ya kumuacha akasema nanukuu...... ' huyu nae, niache wagonjwa wa Cash anataka nimchukue yeye, asubiri kwanza' ..... Hii inamaana cash zinawasaidia wao kusurvive kwani watapata kidogo ila bima haiwasaidii kitu sababu inaingia mfukoni mwa bos yaani serikali...
Na mchezo huu si tuu kwa hospitali za serikali bali hata baadhi ya hospitali binafsi kama TUMAINI
Hicho chumba una lala wewe (mgonjwa) na familia yako ah? Ni VIP unaomba? Sijakuelewa vzr hapo mkuu make nilikua na homa nahisi kama imekatikaHii pia iko Hospitali ya Rufaa Bugando,kitanda kulaza mgonjwa siku tatu 400,000/,zikiisha siku tatu unalipa tena 400,000/=
operesheni ya uzazi 300,000/=
Hii ni nje ya vipimo,madawa,na huduma mbalimbali
kama huna huhudumiwi kabisa na unarudishwa
Na hii hospitali inahudumia rufaa za mikoa karibu 7
Ulifanya nini baada ya hapo, ulimshitaki ili achukuliwe hatua?
Kila kukicha unazidi kujuvua nguo hadharani. Ulikuwa mtu makini,sijui unaelekea wapi!?
Unakuja na habari za kupika halafu unajidai unauliza!!
Taja hivyo Vipimo vinavyopimwa kwa Sh 40,000 Hospitali binafsi ilhali Muhimbili wanatoza 400,000!
Kuhusu suala la Uzazi, Muhimbili kuna kitengo kinaitwa Fastrack. Nenda kapate taarifa kamili pale kabla ya kuja kupotosha umma hapa JF.
Huna tofauti na maofisa ardhi wasio na weledi.
Wewe mama, ukashitaki nani sasa km hata askari wetu kushika watu hawaonyesi ID, manesi hawana,Muda wa kupata haki tanzania mahakamani kwa mtu aliyefika muhimbili toka mkoani ni tosha kukufany auache kesi za dar.Sehemu nyingi pia kuna bimazinakwepwa kwa vile issue y akulipwa nayo sio nzuri. Pia bima haiwapi gap ya rushwa.Ulifanya nini baada ya hapo, ulimshitaki ili achukuliwe hatua?
Nashukuru na wewe umeliona hili ndugu. Mahaba au Chuki ikizidi Busara ni hatari sana katika Jamii na Taifa kwa Ujumla.The Boss wa zamani sio wa sasa,kuanzisha mada za dizaini hii sio ajabu kwake siku hizi,Kabla hujaanzisha mada kama hii tafuta kwanza information za kutosha sio unaanzisha bila info za kutosha
Siamini kama nawe unaamini gharama zipande toka 0-320,000
The Boss wa zamani sio wa sasa,kuanzisha mada za dizaini hii sio ajabu kwake siku hizi,Kabla hujaanzisha mada kama hii tafuta kwanza information za kutosha sio unaanzisha bila info za kutosha
Siamini kama nawe unaamini gharama zipande toka 0-320,000
Mh! Ni hatari make mwenye kipato cha chini hiyo hela ni ndefu mno. Kama unalipwa 1.5laki,means ujikusanye bila kutumia sent 1yr. Very sad.Huu ni ukweli kabisa,hii kitu sio ya Leo ni vile ulikua haijasemwa ama imesemwa ila haijawekwa public.sina hamu nao hao muhimbili nilipeleka mkewangu kujifungua ni kam miezi mitatu imepita kwa bahati mbaya mtoto Siku haikua kamilika vizuri so walimweka kwenye chumba cha joto,wife alikaa hospital kama Siku ,4 ila bill niliyopewa ni sh million 1.6 aisee niliwaza sana kuhusu watanzania wenzangu ni kwa jinsi gani hizi gharama watazimundu,bila kwa kweli pale muhimbili hali sio nzuri,hata nilivyokuwa kwenye foleni kwenda kulipa kila mtu analalamika ughali wa huduma..!!
Bavicha kiwanda cha uzushi. Kwa sheria hii ya mitandao wengi watakua wajelajela.Uzushi toka BAVICHA
Tueleze ukweli mkuuUzushi toka BAVICHA
Kwa sera ya magufuli. Kila shirika linatakiwa LIJIENDESHE KWA FAIDA. Kama hospitali binafsi zinajiendesha. Kwa nini isiwe Muhimbili.Kuna kipindi ilitolewa taarifa kuwa serikali ilikuwa haipeleki fedha za kutosha katika hospitali hiyo na hivyo kusabisha wagonjwa kutozwa fedha ili kuiwezesha hospitali kumudu gharama kwahiyo hii habari inaweza ikawa na ukweli.
Ibambasa unapata hasara gani au faida gani ukijua nafanyakazi au sifanyi?.......
Kutofanya kwangu kazi kumeizui familia yako kula kwa kuomba kwako pesa?........
Watu tunaongelea huduma ya afya kitu serious we ubaleta siasa fala sana we mjukuu wangu.....
huduma kwa mama wajawazito ni 350000/= mi najua hivi punde ulitoka kuzaa pale mwananyamala ni bei ganiLabda hii ndiyo itapelekea kila Mtanzania kujuwa umuhimu wa kujichukulia bima ya afya.
We ni fala sana zuzu uchumi unakufa wewe unafunga viatu vya magamba na kupiga pambio mpaka kenge atoke damu masikioni ndio ujue uchumi unakufa ..Hasara ni kwamba nyinyi mnabaki kulalamika uchumi unaanguka wakati hamfanyi kazi mnabaki kusambaza uzushi, uongo na uzandiki.
Kama uchumi ungekuwa unaanguka ungepata wapi uwezo wa kununua mbs na kuanza kusambaza uzushi?