Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,701
We ni fala sana zuzu uchumi unakufa wewe unafunga viatu vya magamba na kupiga pambio mpaka kenge atoke damu masikioni ndio ujue uchumi unakufa ..
Uchumi unakufaje?
We ni fala sana zuzu uchumi unakufa wewe unafunga viatu vya magamba na kupiga pambio mpaka kenge atoke damu masikioni ndio ujue uchumi unakufa ..
Sasa kwa nini iwe 'kuamini na kutoamini?
wakati muhimbili ipo hapo unaweza kwenda kuuliza?
nimeweka thread watu waseme...au huoni alama ya kuuliza?
why hutaki hata watu wajibu?
alisema Bugando unalipia laki nne hujamuona?
Kujichukulia Bima ya Afya yenyewe changamoto.. Kujiunga na NHIF lazima ujiunge kwenye vikundi wakati wangeweza kuruhusu hata watu waingie 'Individually' wakiweza kulipa michango inayohitajika..Labda hii ndiyo itapelekea kila Mtanzania kujuwa umuhimu wa kujichukulia bima ya afya.
Wapo watu wa kuanzisha mada kama hizi na wewe umekuwa mmojawao siku hizi,ukianzisha mada tafuta info za kutosha JF ya siku inafahamika wakati wa uchaguzi wapo waliosema Kingwendu ameshinda Ubunge
Nakumbuka ulivyoeneza Propaganda kuwa PM ni mkristu naona na hii inaelekea kulekule
Sipingi kupanda au kutopanda kwangharama. Lakini pia wakazi wa Dar waliigeuza muhimbili kuwa dispensary. Yaani badala ya kuwa hospitali ya rufaa. Ikawa kama hospitali ya kata.Huu ni ukweli kabisa,hii kitu sio ya Leo ni vile ulikua haijasemwa ama imesemwa ila haijawekwa public.sina hamu nao hao muhimbili nilipeleka mkewangu kujifungua ni kam miezi mitatu imepita kwa bahati mbaya mtoto Siku haikua kamilika vizuri so walimweka kwenye chumba cha joto,wife alikaa hospital kama Siku ,4 ila bill niliyopewa ni sh million 1.6 aisee niliwaza sana kuhusu watanzania wenzangu ni kwa jinsi gani hizi gharama watazimundu,bila kwa kweli pale muhimbili hali sio nzuri,hata nilivyokuwa kwenye foleni kwenda kulipa kila mtu analalamika ughali wa huduma..!!
Dar inamilikiwa na kuongozwa na chadema. Wamejenga vituo vya afya vingapi?Sikumbuki risit nmeiweka wapi bila Mimi mkewangu kujifungua tu na mtoto kuwekwa uko kwenye joto nililipa 1.6 japo nilienda kama private that was too much from the government hospital aisee!!
Kwa sasa muhimbili ni kinyume. Wale wagonjwa wa bima huudumiwa fasta. Maana kuna mgao kulingana na idadi ya wagonjwa waliohudumiwa.FaizaFoxy hakika Bima ya Afya Manesi huchukulia kama wewe ni maskini hukuona km hustahili kutibiwa. Nilishawahi msikia doctor nikiwa natibiwa japo mimi ninabima lakini siku hiyo sikutumia bima yangu nikaamua kufanya malipo...Mgonjwa alikuwa anahitaji matibabu haraka doctor akamwambia subiri, Doctor akamchukua mgonjwa wa nyuma ambaye ni mimi wa malipo akamuacha wa bima..baada ya kumuacha akasema nanukuu...... ' huyu nae, niache wagonjwa wa Cash anataka nimchukue yeye, asubiri kwanza' ..... Hii inamaana cash zinawasaidia wao kusurvive kwani watapata kidogo ila bima haiwasaidii kitu sababu inaingia mfukoni mwa bos yaani serikali...
Na mchezo huu si tuu kwa hospitali za serikali bali hata baadhi ya hospitali binafsi kama TUMAINI
100%FaizaFoxy hakika Bima ya Afya Manesi huchukulia kama wewe ni maskini hukuona km hustahili kutibiwa. Nilishawahi msikia doctor nikiwa natibiwa japo mimi ninabima lakini siku hiyo sikutumia bima yangu nikaamua kufanya malipo...Mgonjwa alikuwa anahitaji matibabu haraka doctor akamwambia subiri, Doctor akamchukua mgonjwa wa nyuma ambaye ni mimi wa malipo akamuacha wa bima..baada ya kumuacha akasema nanukuu...... ' huyu nae, niache wagonjwa wa Cash anataka nimchukue yeye, asubiri kwanza' ..... Hii inamaana cash zinawasaidia wao kusurvive kwani watapata kidogo ila bima haiwasaidii kitu sababu inaingia mfukoni mwa bos yaani serikali...
Na mchezo huu si tuu kwa hospitali za serikali bali hata baadhi ya hospitali binafsi kama TUMAINI
Yani haya majibu yako itakuwa hu kutumia kichwa kufikiri Bali kilikuwa kimekatwa pembeni. Comment yangu ni very poor kwa huo utetezi wako kwahyo ili kupunguza watu the only solution ilikuwa kupandisha bei? Maajabu haya nijuavyo Muhimbili hawakupokei bila kupitia kuanzia Sinza , mwananyamala sasa huo utetezi wako hauna logic.Sipingi kupanda au kutopanda kwangharama. Lakini pia wakazi wa Dar waliigeuza muhimbili kuwa dispensary. Yaani badala ya kuwa hospitali ya rufaa. Ikawa kama hospitali ya kata.
Mtu akijisikia uchungu ... muhimbili kabla ya kupitia dispensary na mwananyamala.
Kama wamepandisha gharama ni sehemu ya kuwafukuza wasiotaka kwenda sinza palestina.
Ngoja siku walazwe kama Sumaye ndio wataujua ukweli wa Muhimbili,hapo ndipo watakapopiga mayowe kumshukuru Magufuli.Uzushi toka BAVICHA
Na ccm miaka 54 ya Uhuru kuongoza nchi kwanini imeshindwa kujenga hospital za maana kila sehemu, na kuboresha huduma ya Afya, acheni kukwepa majukumu yenu kwa Watanzania kwa kisingizio cha CDM, hata sehemu upinzani ukitaka kufanya mambo ya maendeleo nyie si ndo huwakwamisha kwa sababu ya kiitikadi.Dar inamilikiwa na kuongozwa na chadema. Wamejenga vituo vya afya vingapi?
Muhimbili ninhospitali ya taifa. Wakazi wa Dar daini jospitali za kata wilaya na mkoa. Halmashauri na serikali kuu wote wanahisika.
Kuna mashirika ka ya afya, Tanesco hayatakiwi kujiendesha kwa faida maana ni yanatoa huduma kwa jamii ndo maana hayajibinafsishwa yote yako chini lazima ujifunze kutofautisha mashirika yanayoendeshwa ki biashara faida na ya kutoa huduma muhimu kwa jamii. Private hospitals ndo ziko ki biashara zaidi.Kwa sera ya magufuli. Kila shirika linatakiwa LIJIENDESHE KWA FAIDA. Kama hospitali binafsi zinajiendesha. Kwa nini isiwe Muhimbili.
Kuhusu raia walishaambiwa wakate bima ya afya tangu enzi za mkwere. Hawataki ingawa kuna family package hadi za elfu 80 kwa mwaka.
Leta ukweli toka lumumba sasaUzushi toka BAVICHA
Usijali kesho makonda ataenda huko kufatilia tatizo hiloUzushi toka BAVICHA
Kujichukulia Bima ya Afya yenyewe changamoto.. Kujiunga na NHIF lazima ujiunge kwenye vikundi wakati wangeweza kuruhusu hata watu waingie 'Individually' wakiweza kulipa michango inayohitajika..
Thread hii ni swali
tunaomba clarification...
na Thread ya PM ilikuwa swali pia
tuliomba kujua...
kuna ubaya gani sasa watu kuomba kujua?
Mkuu The Boss, japo hili sijalifuatilia ila nilisikia wamebinafsisha huduma zote kwa wale wanaokwenda Muhimbili by choice ambao sio referral. Wanautumia mtindo wa CCBRT wenye pesa walipe, na wasio na pesa wataendelea kuhudumiwa bure na kwa kuchangia. Kuna wagonjwa kibao wa rufaa za mikoani au accident victims wanaotibiwa bure 100%. Wagonjwa wenye ndugu waletewe chakula wenye, pesa walipe chakula, dawa na matibabu, wasio na pesa, wasio na ndugu kila kitu ni bure.Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.
Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.
Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.
Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.
Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?
Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?
Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip
Mkuu The Boss, japo hili sijalifuatilia ila nilisikia wamebinafsisha huduma zote kwa wale wanaokwenda Muhimbili by choice ambao sio referral. Wanautumia mtindo wa CCBRT wenye pesa walipe, na wasio na pesa wataendelea kuhudumiwa bure na kwa kuchangia. Kuna wagonjwa kibao wa rufaa za mikoani au accident victims wanaotibiwa bure 100%. Wagonjwa wenye ndugu waletewe chakula wenye, pesa walipe chakula, dawa na matibabu, wasio na pesa, wasio na ndugu kila kitu ni bure.
Kitu ambacho sijajua ni kriteria tuu. Mimi nilipopata ajali ya piki piki nililazwa Moi Private by choice unalipia kuanzia room, chakula, service charges ya services zote, consultations, madawa, vifaa tiba, na kila kitu, tena wakati huo CT Scan name MRI zilikuwa mbovu hivyo unalipa 1.M Regency, ambulance 100,000 per trip, and that was 8 years ago name kulipia ilikuwa ni by choice sasa ambapo ni lazima sijui hali itakuwaje.
Paskali.
Kuna Dada mmoja juzi kajifungua..aisee imemtoka zaidi ya milioni 1 kwa kulazwa siku 4Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.
Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.
Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.
Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.
Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?
Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?
Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip