Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Ccm ni janga la umaskini nchini.
Mkuu The Boss,
Sijajua vipimo vingine, lakini nataka nitoe ufafanuzi kwenye vile nilivyothibitisha.
Upande wa Ct Scan, ni uongo. Mdogo wangu alikuwa anatatizo moja hivi tukaenda kucheck pale, Gharama yake ni Tsh. 150.000 (Hiki kipimo kunakipindi niliona Ikonda ni Sh 270.000 sijui kwa sasa) Tena hapa alifanya Ct Scan ya kichwa.
Kwa upande wa M.R.I mimi mwenyewe nilikuwa (mpaka sasa) na tatizo moja hivi, Nimeenda kupima juzi kati hapo hata mwezi haujaisha. Gharama yake ni Tsh. 250.000. Hivyo ndivyo vipimo nilivyo na uthibitisho navyo.
Kinachokuza Gharama,
Pale Muhimbili panamsongamano mkubwa wa Wagonjwa na ukizingatia ukubwa wa Hosptitali yenyewe. So kwa wale wenye uwezo huwa hawataki kufuata utaratibu uliowekwa na hosptali hivyo huwatafuta "Madalali" Hawa ni wajuzi wa Hospitali hii, Madaktari na Vitengo vyake kulingana na Ugonjwa wa Mgonjwa mwenyewe.
Kwahiyo hawa usipokuwa makini ndio wanaokuza gharama pasipo wewe kujua... Unakuta kipimo fulani ni Shilingi 10.000 mf, Yeye anakwambia Laki moja..!! Wewe kwasababu hauelewi a wala be, na hautaki usumbufu unajikuta unalipa gharama hizo..!!
Halafu pia, Pale Muhimbili kuna huduma zinatolewa kama Private (kwa mahitaji ya mgonjwa mwenyewe) Gharama za Private haziringani na gharama za kawaida, ingawaje hazijapishana ile sana.
Hii ndiyo inawakuta watu wengine wanaopenda Wake zao wajifungue kwa huduma ya Private. Ninachojua, huduma ya Uzazi kwa kina mama ni bure, ingawaje kunagharama kidogo unachangia kama mkeo kafanyiwa Operation.
Hicho ndicho kidogo ninachojua..!!
BACK TANGANYIKA
Ha ha ha muhimili ulijichimbia chiniMuwe watulivu nchi inanyooshwa na katiba imewekwa pembeni na ule muhimili uliojichimbia zaidi kwenda chini
Labda hii ndiyo itapelekea kila Mtanzania kujuwa umuhimu wa kujichukulia bima ya afya.
Ni kweli kabisa mkuu! Leo nimeenda Muhimbili kufanya Medical check up, kwa vipimo nilivyopima, ukiacha CT Scan Kama sijakosea imegharimu zaidi ya 300,000 Na hapo bado matibabu, nikajiuliza hii ndo Hospital ya Serikali kweli??? Hata Kama kuchangia Huduma sio kiivyo!
Kadi ya kwenda kumuona Daktari. Kiongozi unatumia bima ya Afya nini?
Siku ukipata stoke ndo utajua ni BAVICHA au la.Bavicha
Nilikuwa nawaza ni namna gani wanyama waliingia kwenye safina kipindi cha Nuhu, lakini nikayaona Tanzania twiga ndani ya bombadier angani na sio juu ya maji...hakuna lisilowezekana tz amini nakuambiaKwa akili ya kawaida nadhani hili haliwekeni. Hiyo tofauti ni kubwa sana kuijustfy wa la watu kumudu. Ila uhakika ni kuwa baadhi ya huduma zilizokuwa zikitolewa zamani kwa misaada ya wahisani (waliojiondoa) au miradi kwisha inawezekana kukawa na tozo. Sasa ni za kiwango gani? hilo sijui.
Tusubili tamko lao