Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Hii pia iko Hospitali ya Rufaa Bugando,kitanda kulaza mgonjwa siku tatu 400,000/,zikiisha siku tatu unalipa tena 400,000/=

operesheni ya uzazi 300,000/=
Hii ni nje ya vipimo,madawa,na huduma mbalimbali

kama huna huhudumiwi kabisa na unarudishwa

Na hii hospitali inahudumia rufaa za mikoa karibu 7
Dahh Huko hakuna maisha tena, Dah Tanzania nchi yangu (iphalile)
 
Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.

Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.

Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.

Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.

Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?

Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?

Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip

==================
Maoni ya wadau wengine
Nenda muhimbili kajifungue ili upate uhakika kama utadaiwa pesa. Vinginevyo hutapata jibu sahihi mkuu.
 
Ukiumwa figo Kuna vipimo vikuu viwili
cha kwanza 450000=
cha pili. 750000=
bado kitanda na matibabu
 
Labda hii ndiyo itapelekea kila Mtanzania kujuwa umuhimu wa kujichukulia bima ya afya.
Mkuu FaizaFoxy,bima ya afya kwa kweli ni nzuri ukiwa nayo,lakini kama gharama zimeongezeka hivi,na wao si wataongeza makato kwa wanachama? Sasa ukijumlisha na 15% ya makato mkopo wa HESLB ( kwa wadaiwa),hapo si ni vilio tu?
 
Mkuu unaleta siasa hata kwenye afya za Watu....ujafa ujaumbika...una wazazi ndugu jamaa na marafiki.
Inaitwa operation kata funua.. CDM ya sasa ni ya kusambaza uongo tu na majibu ya serikali yakitolewa wanasema ni maagizo kutoka juu..

Lowassa ni mpuuzi na mroho wa madaraka na kamwe asiote kupata madaraka
 
Rafiki yangu alitoka ughaibuni alirudi nyumbani kwa likizo ya mwezi mmoja, akiwa Dar alipata ajali iliyopelekea kulazwa Muhimbili, hii ni miezi miwili iliyopita. Alilazwa ward ya kawaida, anasema malipo aliyamudu ingawa hakuwa amejiandaa, alitakiwa kufanyiwa CT scan kabla ya operation, 300,000 baada ya hapo alifanyiwa operation.

Alitoka hospitali na magongo ya mbao, aliweza kusafiri kuelekea ughaibuni, alipotoka tu airport alipelekwa hospitali, amefika to mapokezi baada ya masaa mawili alifanyiwa CT scan, alilizwa na kesho yake alionwa na daktari wa mifupa, yale magongo aliyokwenda naya yaliwekwa kama souvenir walishangaa sana kuwa bado technologia kama ile inatumika duniani, lakini walisifia madaktari waliofanya operation ya kwanza Muhimbili.

Kwakweli si kwakuwa tu alitoka ughaibuni lakini anasema gharama kwa mtu wa kawaida anazimudu.
 
Watanzania Ujamaa ulituharibu. Afya bure haitekelezeki. Tugharamie matibabu. Serikali pekee haiwezi kutekeleza haya.
 
Hivi Dar Kuna Hospitali Moja... Si Muhame.. Yaani Magufuli anabana Matumizi Halafu Nyie hambani
 
Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.

Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.

Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.

Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.

Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?

Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?

Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip

==================
Maoni ya wadau wengine
Shame On You.
 
Kata Funua ni operesheni ya kuibua uzushi...nashangaa hata mkongwe kama wewe unakuja na uzushi.

By the way Muhimbili ni referal hospital ...kama huna rufaa utalipishwa tu.
 
Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.

Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.

Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.

Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.

Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?

Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?

Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip

==================
Maoni ya wadau wengine
Mkuu The Boss, kuna very good development on this, wakubwa wameliona bandiko hili and soon official statement from MNH itanifikia kuainisha gharama za kila huduma, hivyo ukweli from the horses mouth utawafikia.

Paskali
 
asante kwa mchango wako
Mkuu The Boss na Mimi napenda nitoe mchango wangu, unajua Muhimbili ni hospital ya rufaa ya taifa, wagonjwa wanaofika pale wamepewa rufaa kutoka hospitalini za chini, ila sasa kama wewe ukienda pale bila rufaa kwa sababu una imani na unapenda Huduma za pale unaingia moja kwa moja kwenye private, awe ni mtoto au mjamzito haijalishi, ila sema Huduma za private za Muhimbili ni gharama kuliko hata hospitali nyingine za private tunazozifahamu, ingawa Mimi naona ni sawa kwa sababu Muhimbili ni the best ukilinganisha na hizi nyingine
 
Back
Top Bottom