R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,295
- 5,450
Hivi hizi kodi tunazilipa zote huwa wanalipana mishahara na kununulia vibajaji au inakuwaje jamani?
Kodi zimekuwa nyingi sana maisha hayatabiriki hospitali za serikali huduma ni ghari sana . Mwezi mmoja uliopita nilienda pale hospitali ya temeke kupima mkojo nililipa shilingi elfu tano(TZS 5000) wakati hospitali binafsi ni shilingi 1000 tu.
Sasa sijajua serikali hii ina nia gani na wananchi wake!!! Kodi walipe halafu mnapiga debe kabisa kuwa hizi hela za kodi ndio zinatumika kununukia madawa na kuendeleza miundo mbinu ya nchi.Hizo dawa zinazonunuliwa kwa kodi zetu mbona tena tunauziwa kwa bei ya juu sana ??
Natamani hata watanzania walione hili kwa jicho la tatu ili ifikapo 2020 wasifanye makosa tena .