Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku wauaji wanaofahamika hawajakamatwa hadi leo.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika .

=======
Hi taarifa mleta mada uliileta saa nne asubuhi saa hizi inaelekea saa kumi na Moja Giza linaingia napata hasira hamna update hiyo ya Geita?.Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema badio hakijamaliza kazi tu?
 
UPDATES 1
Akiwa Muleba Mh Lissu amewahurumia wananchi wa hapo , baada ya kilichowapata kwenye tetemeko " mmepatwa na tetemeko badala ya kufarijiwa mkasimangwa "

View attachment 1578319
TAL. Kanyaga twende.
 
Hi taarifa mleta mada uliileta saa nne asubuhi saa hizi inaelekea saa kumi na Moja Giza linaingia napata hasira hamna update hiyo ya Geita?.Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema badio hakijamaliza kazi tu?
We know who you are.
 
Subpost 1 - “Mmepatwa na tetemeko badala ya Raisi kuwafariji amekuja kuwasimanga ( 359 X 640 ).jpg
 
Hi taarifa mleta mada uliileta saa nne asubuhi saa hizi inaelekea saa kumi na Moja Giza linaingia napata hasira hamna update hiyo ya Geita?.Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema badio hakijamaliza kazi tu?

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Yaani una roho ngumu mpaka Shetani anakushangaa aisee, maana nasikia Mwenyekiti amekataa kutoa hela ya kujibizana mitandaoni, lakini wewe nakuona bado umo, au bado posho yako haijakatika??
 
Niko Katoro hali si ya kawaida kila nikigeuka Lissu Lissu nikasema kuna nini, yani kuna taharuki kila mtu amekaa atention akisema anatokea anatokea..ukiangalia magari yanayokuja sio yeye..

Huyu jamaa anawaharibu watu vichwa, shughuli za uchumi zilipaswa kuendelea, hivi sio sawa
 
Safari ya kuing'oa CCM ni ngumu na ninafuu ya kutembea Kwa mguu kwenda sayarini, unapokuwa na mtu aliyedhamilia kufanya hivyo na hatojali atafika lini huko, inahitaji kutiwa Moyo ili aendelee na Safari,ingawa mpambanaji huyo aweza kufia njiani na kizazi cha kizazi chake ndio kitakachokuja kufika sayarini tayari Kwa kuing'oa CCM

Tusichoke kuwatia moyo watu kama hao wanaotia Nia, lakini tusisahau kutumia sayansi zaidi ya hao waliotangulia kufika huko sayarini na wakaweka mizizi yao huko,

Akili kubwa inahitajika zaidi ktk Safari hizi na sio Maneno na upambe mwingi

Nimalize Kwa kusema, Atashinda tena, NDIYO, Magufuli atashinda tena Kwa ushindi mkubwa kuliko ule 2015,

Naomba mliokamia saaana eti huyo mbeligiji atashinda, jihadharini msije kuanguka mkazikwa bule Kwa kuwa atashindwa vibaya Sana, ni Bora kuanza kuizoea hiyo Hali kidogokidogo, mwisho wa siku maisha yanaendelea
Very desperate eh?
 
Niko Katoro hali si ya kawaida kila nikigeuka Lissu Lissu nikasema kuna nini, yani kuna taharuki kila mtu amekaa atention akisema anatokea anatokea..ukiangalia magari yanayokuja sio yeye..

Huyu jamaa anawaharibu watu vichwa, shughuli za uchumi zilipaswa kuendelea, hivi sio sawa
Mbona wanasema mabango ya ccm yamejaa sana hapo ?
FB_IMG_1600455296561.jpg
 
Back
Top Bottom