Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

usidhani kama tunaishia kukusoma wewe tu,tunazo source zingine zinazotupa hali ilivyo jikoni

Huyu mbayuwayu chabruma kupata fadhila baada ya kufanya kazi ya b7 kwa mda mrefu kwa sasa anaona yeye ndo kila kitu bungeni kwa update mpuuzi kwelikwel anabagua cha kuandika
 
sitta anajijenga ndani ya ccm lakini anajibomoa kwa hadhira kubwa ya wananchi wengi!

kwa staili hii anajionyesha hafai kuwa rais wa Tanzania wala Tanganyika labda awe rais wa Tabora.

Uzalendo wa kinafiki.
 
Tangu nilipoona 6 kapita kugombea ccm, nilijua kuna jambo, nakatika watu waonweza kuuza mke kwa uchu wa madaraka ni huyu mzee, maana sas hivi anafany jitihaada za kupitishwa mgombea urais ccm.Kwahiyo yupo tayari kuuza nchi kwa ahaadi ya urais! Shame on him!

Kwangu mie hii katiba inayotengenezwa sasa ni katiba ya ccm na siyo ya nchi.
Huyu Mzee mbali na kuchoka ni mnafiki, mbinafsi na muongo kupindulia. Kipindi cha majibizano na aliokuwa anawaita mafisadi alifikia hatua ya kusema kina mamvi na washirika wake waliohujumu uspika wake wanafiliria kwa matimbo. Sasa hao hao wanaofikiria kwa matumbo wamemteka na wameteka mchakato wa katiba wakiomgozwa
Naye na mwenyekiti
 
Hivi nchi hakuna "snippers" wafanye kazi yao?
Wakati mwingine inabidi kuwapoteza wanajaribu kuipoteza nchi.
 
Chura akiwa mtoto huwa kama samaki kambare, lakin baada ya kukua huwa na magamba flani hivi... Mwili wake huwa na mapelepele. Huko ndo alikofikia 6...
 
Huyu Mzee Samwel Sitta ( Samwel Arsenal anatupeleka kwenye katiba ya sisiemu!!
Mzee Arsenal unahaki ya kuangalia upya na kupima Kama kiti kinakutosha!!!!

Halafu wabunge wanakaa dakika MAN U huku wakilipwa laki MOYES
 
Mvutanoooo unaoendeleaa ni muhimuu sanaa katika kufikia maridhianoo mazuri kwa masilahii mapanaa ya umma. Naungaa mkonooo malumbano, mvutanoo yenye nia ya kufikiaa maridhianoo.

hapo walipo wamefika kwa maridhiano,baada ya kuvutana sana wakaridhiana wakatunga kanuni.cha ajabu sasa ni kuwa wanaleta mabadiliko ya kanuni hata kabla ya kuanza kutumika.hata kabla ya kuonyesha mapungufu wanataka kuzibadili.huo ni wizi usio na kifani.mbaya zaidi mwenyekiti wa kamati ya kanuni ndiye aliyekuwa spika wskati kanuni hizi zinatungwa.
 
Mh. Samwel Sitta ameuthibitishia umma wa watanzania na ulimwengu kwa ujumla kuwa sio yule wa Bunge la Tisa japo alijigamba kuwa ni sawa na Chura anayerudi majini. Imedhihirika wazi kuwa Chura yule wa Bunge la Tisa alijali Kasi na Viwango kwa Haki na Usawa. Lakini Chura huyo inaonekana Kazeeka au Kachakachuliwa baada ya kutaka kunyang'anywa kadi ya uanachama wa CCM wakati wa Bunge la Tisa.

Baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba alianza kwa kuchakachua kanuni iliyotaka Rais azindue Bunge kwanza alafu Warioba ndo awasilishe rasimu kwa bunge hilo. Mambo yakaanza kwenda mrama. Leo hali imekuwa mbaya pale aliporuhusu CCM kutaka kuchakachua kanuni ambazo hata hazijaanza kutumika. Badala ya kushughulikia kanuni zilizosalia wao wameleta lundo la kanuni ili zirekebishwe wakati ni kanuni zilizopitishwa kwa maridhiano. Swali la kujiuliza ni kuwa hayo maridhiano yalikuwa ni unafiki tu? Na je, ni upungufu gani ulioonekana kwa sasa wakati hata hizo kanuni hazijaanza kutumika?

Huyo ndiye Sitta na nadharia ya Chura anayerudi majini. Kwa Mwendo huu Chura huyu amezeeka ama kachakachuliwa? Je atamudu kuogelea maji hayo tena kwa mwendo huu? Funguka.


Nionavyo mimi huyu chura kichwa maji kweli!
 
hii ndio sura halisi ya sitta, kwenye bunge la tisa kuna mission alikua ana-acomplish
 
exactly. hili ndilo suluhisho la uuni huu wa ccm. naomba samwel sitta tumchape albadili kabisa. kanihudhi sana kwa harakati zake za kuakikisha tunapata katiba mbovu
uyu sitta ndo mbaya wa watanzani. laana tu lwah uyu kenge
 
lakini nawe sigsbert unabadilika kama kinyonga. au ushetani wa ccm umeshituka kuwa utawaathiri ata nyie vijana wa lumumba
 
Back
Top Bottom