Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

Habari wadau,

Kwa namna Sitta anavyoendesha Bunge hili maalumu la katiba kama mwenyekiti,anafaa kweli kuendelea na wadhifa huo?

Kumbuka huko mbele kuna mambo mazito ambayo yatahitaji busara za kiti,sasa kama ameshindwa kuheshimu kanuni tu,je huko mbele itakuwaje?

Kwa maoni yangu,mchakato wa kumuondoa mwenyekiti uanze sasa au vinginevyo hili Bunge livunjwe.

"The earlier,the better".
 
Hivi haiwezekani kukodi spika kutoka nje aje aongoze Bunge hili kwa ufanisi bila kuogopa chama chochote au maslahi yake?
maana tayari huyu ameshindwa.
 
Tundu kiboko yao walitaka wachakachue asiwepo bunge la katiba tunaona kazi yake sasa


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Ukiondo hicho kipengele kinachohusuu MUUNDO WA MUUNGANO..kuna cha zaidi katika rasimu kinachowatishaa sanaa baadhi ya VIONGOZI WA CCM KUPITIA BUNGE MAALUMU????
 
Wakuu,
ni dhaili sasa kuwa mh.Samwel Sitta ameshindwa kazi ya kuliongeza bunge la katiba ambalo lingewaletea watanzania katiba waitakayo.

Kwa kadri siku zinavoenda Sitta anaonekana kupwaya sana kwenye kiti hasa katika eneo la upindishaji kanuni .Mtakumbuka Sitta alipindisha kanuni tena nje ya utaratibu ili kumwezesha Kimwete aje kumjibu Walioba na sasa anataka kuzipindisha tena kwa kile anachokiita kuziboresha.Ahiingii akilini kuona kanuni zilizotumia wiki tatu kutengenezwa zinaanza kubadilishwa hata kabla ya kuanza kutumika.Hii inaleta dhana moja tu,nayo ni kuwa kuna watu wamejipanga kuendesha mambo kwa kadri wanavyotaka.

Sitta ulikuwa umejenga imani kwa watanzania kwa yale uliyowai kuyafanya,lakini kwa mwendo huu unaweza kushuka mpaka ziro.Kaka CCM walikusudia kukudhoofisha sasa wamefanikiwa .

MY TAKE;
Kati ya haya mawili chagua moja la kusimamia na kamwe usikae katikati
.Simama upande wa wananchi na uliongoze bunge viwango,weledi na hatimae tupate katiba.upande chati
.Simama upande wa CCM ili uendeshe bunge kama roboti na ujiporomoshe kisiasa.
 
Huyu Mzee Samwel Sitta ( Samwel Arsenal anatupeleka kwenye katiba ya sisiemu!!
Mzee Arsenal unahaki ya kuangalia upya na kupima Kama kiti kinakutosha!!!!
 
Mkuu na mimi nilifikiri kitu kama hiki, ! Nimeshangazwa sana na jinsi alivyowachagua wasemaji wa jioni ya leo....

Baada ya Lissu na Waziri wa Katiba wa zanzibar kuonyesha msimamo ule, kwa kweli nilishangaa Sitta kumchagua Jussa ambapo obvious ilijulikana anakwenda kuongeza mafuta ya petrol kwenye moto na kweli baada ya Jussa ikabidi aahirishe Bunge...

Sitta nafikiri kuna kitu anakionyesha. Nafikiri, nikimwangalia, anaonyesha wazi kuwa kuna force/pressure behind him. Nafikiri anachokifanya ni kuwaonyesha ccm kuwa wanachokitaka hakiwezekani. Kwa hiyo huku kuahirisha bunge kila mara ni kuonyesha ama Rais avunje bunge au wamwache afanye kazi yake kiweledi. Mfano mzuri ni ni hata aliowapa nafasi ya kuongea! Hili bunge halitaishi, soon linavunjika!
 
Kosa wanalofanya CCM, wanafikiri Bunge hili wanaweza kuliburuza watakavyo kama lile la Jamhuri.
 
Ccm ni watu wa ovyo sana kama walijua haya yatatokea kwa nini kikwete aliruhusu huu mchakato?
au akujua kitakacho tokea ?ha ha nampa pole sana kikwete na ccm yake hakika hapa atoki mtu lazima UKAWA watusaidie kupata katiba tuliyo itaka sisi wananchi.
 
Sita alichaguliwa akasimamie kanuni au atunge kanuni sasa kificho alikuwa na kazi gani
 
Sita kwishnei habari yake! hivi unawezaje badiri kanuni bila idhini ya waliozitengeneza hizo kanuni
?
 
Na atakuwa anachezea kichapo tu maisha yake kama leo lissu na jussa walivyo mchapa
 
Back
Top Bottom