Mvutanoooo unaoendeleaa ni muhimuu sanaa katika kufikia maridhianoo mazuri kwa masilahii mapanaa ya umma. Naungaa mkonooo malumbano, mvutanoo yenye nia ya kufikiaa maridhianoo.
Sita alichaguliwa akasimamie kanuni au atunge kanuni sasa kificho alikuwa na kazi gani
Hivi haiwezekani kukodi spika kutoka nje aje aongoze Bunge hili kwa ufanisi bila kuogopa chama chochote au maslahi yake?
maana tayari huyu ameshindwa.
Mchakato uko mbioni.
Sita anatumiwa na CCM hataki ila hana jinsi,ndo mana anampa nafasi Tundu Lisu na Jusa kuchochea kuni