Pyepye shola
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 296
- 27
naona kama vile ndani ya ccm wote kama zimepungua vile
Anapotoshwa na limzimu la kupitishwa na nec kugombea uraisi kupitia ccm.
Jasho la sitta+povu la werema=mchakato kufa
Sita taratiiibu anajiingiza mwenyewe tena kwa nguvu na kasi ya ajabu katika listi ya watu hovyo ndani ya Taifa letu.
Mimi ni mmoja wa watu waliopigana sana dhidi ya mafisadi waliojipanga kummaliza. Sasa kwa kuwa sita ameungana na lile genge la mafisadi kwa kupokea maelekezo kwao ya jinsi gani watakavyohujumu matakwa ya wananchi, nimeamua sasa kubadilika na kuungana na wote wanaopambana na Sitta.
Wazo hili nitalifanyia uamuzi rasmi mwishoni mwa juma hili.
.
Hivi haiwezekani kukodi spika kutoka nje aje aongoze Bunge hili kwa ufanisi bila kuogopa chama chochote au maslahi yake?
maana tayari huyu ameshindwa.
Hapana shaka 6 alipokuwa mtoto alikuwa anajisaidia haja ziwani ,tabia inajirudia uzeeni
Apana..atuondolee wajinga ndani ya ccm
Hahahahaha chadema itakufa soon ala ccm itadumu milele so edit uzi wako