mpaka sasa naendelea kutafkari kwa nini Tundu lisu au Pro. Safari hawakugombea na wamemwacha huyu mnafiki. Kinachoendelea sasa hakitaki hata division 5 kujua kuwa bunge malum la katiba linaongozwa na ikulu.
hii nchi inaelekea kubaya.
Ndugu yangu mbona unauliza kama vile hujui!Haya unayoyaona yalipangwa.Kwa hali ilivyo hata angegombea Prof Safari au mpinzani yeyote asingepata kwa kuwa tayari CCM ni wengi na uteuzi wa wajumbe 201 wa rais umeendelea kuwaongeza. CCM haikuwahi kuwa na dhamira na jambo hili kwa hiyo litavurugwa kwa jinsi wanavyoweza.Hujafuatilia yaliyotokea kwenye kuchagua viongozi wa kamati 12?Fungukeni macho kwa kuwa kile wananchi mlichopendekeza kitatupwa kapuni na CCM walete kile wanachotaka cha kuwahakikishia umilele wa dola yao wanaozungumzia kila wakati.