NAMTUMBA
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,939
- 600
Hivi nchi hakuna "snippers" wafanye kazi yao?
Wakati mwingine inabidi kuwapoteza wanajaribu kuipoteza nchi.
Excellent

Hahahahaha chadema itakufa soon ala ccm itadumu milele so edit uzi wako
mitandao ya Wahaya, Waluguru, wamakonde, wamachame, wakibosho, wakinga, wanyamwezi, wamatumbi, wakwere hujawahi kuisikia wala kuiona? ACHA HIZO.
Kutokana na hali ilivyo ndani ya bunge la katiba sijui kama tutafika salama, ndo maana nimeona niwaulize wanajamvi humu swali hapo juu, maana huyu spika atakaekodiwa atakuwa hana chama. vipi hili linawezekana??
Maswali ya ki-UKAWA!