hatuna muda wa kuvumilia.huu usanii wa magamba,kama vipi kinuke tu ili baadaye tuheshimiane!
Mkuu, baada ya kupitia michango mbalimbali ya huyo uliyemjibu nimejiuliza mara mbili mbili kua hivi mtu wa namna hiyo alipataje umod? Kwa minajili ya mjadala husika mi naona tuendelee na michango ila tuendako si kwema sana.