hizi mambo nilikutana nazo sana wakati nafanya kazi za ukimwi na zimesaidia sana kubadili tabia yangu unamuona demu mzuri kumbe yupo doziini. nilistuka zaidi nilipokuwa training iringa. watoto wazuri wa chuo ukiwapima imo dah nikawa najisemea huko chuo kitatokea nini kwa wazee wa viduku?Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.
Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.
Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.
Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.
Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.
Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.
Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.
Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.
Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Huyo dada ni member mwenzetu na sasa anausoma huu ujumbe ila siwezi kumwanika.
Nasikia anaetumia dawa hana tatizo. Mwambie kaka yako aache unyanyapaa
Huyu mdada ni yupi usikute tayari ameshatusajili mbinguni?
Babu Asprin anza kujinyenyekeza mbele za Mungu mapema
Ndiyo wata dukuliwa hivyo hivyo hakuna namnahizi mambo nilikutana nazo sana wakati nafanya kazi za ukimwi na zimesaidia sana kubadili tabia yangu unamuona demu mzuri kumbe yupo doziini. nilistuka zaidi nilipokuwa training iringa. watoto wazuri wa chuo ukiwapima imo dah nikawa najisemea huko chuo kitatokea nini kwa wazee wa viduku?
Mara nyingi watumiao dawa hawawezi ambukiza.. shida iko kwa wale wasiojua status zaoKaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.
Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.
Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.
Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.
Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Hii sio chai kwel?Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.
Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.
Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.
Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.
Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Pimaneni kabla ya tendo, inaweza saidia kuuepuka. Nisije nikakupoteza kaka yanguHapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.
Teh, usije ukanipoteza mdogo wangu. Ila nipo makini nashukuru Mungu...Pimaneni kabla ya tendo, inaweza saidia kuuepuka. Nisije nikakupoteza kaka yangu
....angalau hata ungeandika KAKA YANGU APONEA CHUPUCHUPU ingeendana vizuri na post yako..Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe! Ukisema "YALIYOMSIBU' Unamaanisha majanga. Sasa hakupatwa na janga lolote kwasababu hakuhathirika.Ungesema labda. "kaka yangu ana bahati"
Wengi tunaangalia kwa nje tu basi na tunasahau hakuna guarantee ya afya!hizi mambo nilikutana nazo sana wakati nafanya kazi za ukimwi na zimesaidia sana kubadili tabia yangu unamuona demu mzuri kumbe yupo doziini. nilistuka zaidi nilipokuwa training iringa. watoto wazuri wa chuo ukiwapima imo dah nikawa najisemea huko chuo kitatokea nini kwa wazee wa viduku?
Na sisi pia tufanye sehem yetu wakati na yy akifanya sehem yake!Mungu aendelee kutupigania na kutulinda damu chemka
Ni wachache who can do that kindly!Jaman ukiwa umedondokewa moyo na ke au me na umeathirika na wajijua ni vema ukamweleza ukwel jaman
Uaminifu unakujaje mkuu wakati mnaanza haya mambo kabla hata hamjafunga ndoa,mnamaliza kufanya kitendo na kila mtu anaenda kwake,na huko upande wa pili hamna anaemuona mwenzie anafanya nini,na kama mwanamke alikuwa na mtu wake anaendelea naye huku akisikilizia kuwa huenda unaweza kubadili mawazo ,na huyo mtu wake kwakuwa kasha muhisi bi dada ana kimtu kingine naye kaanza kugonga pembeni kwa siri,sasa hapo utaukosaje mkuu...!Hapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.