Yaliyomsibu kaka yangu

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,447
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,447 2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
 
colin_morgan

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
1,710
Points
2,000
colin_morgan

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
1,710 2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Aah kama angekua kapenda hyo kaka yako hakukua na sababu ya kukatisha mapenz

Zama zimebadilika ,mbona simple tu unaishi na mtu ambaye ana maambukizi na mnazaa mtoto ambaye hana maambukizi na kushiriki mapenz vizur tu

Kinachohitajika ni elimu tu nahisi alikosa ur bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braitfyucha

Braitfyucha

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
160
Points
250
Braitfyucha

Braitfyucha

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
160 250
Abarikiwe dada yako, mkataa pema pabaya panamuita.
Hatari faya,,unayemwamini ndo anaekuua
Kuna mbaba alizira kutumia Arvs
kisa mke wake ndo kamletea gonjwa
mwanamke akawa anasema mwacheni afe
Kweli tulishazika
mke wake bado yupo anaendelea kueneza gonjwa kwa wanazengo wanaohitaji
walevi wanamgegeda balaa
hata hawaogopi
akipata nyegezi tu anaanza kuwaita wanaume njooni njooni tayariHii ndo Dunia

'Gear yourself to solutions in every problem'
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,946
Points
2,000
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,946 2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Watu hawa wapo na wamewaumiza wengi
Kikubwa ni kupima afya kwanza wajameni
Physical Appearance ya mtu wengi wanaamini 'Huyo ni mzima kumbe chuma cha moto'
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
12,946
Points
2,000
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
12,946 2,000
Sitaki kuanzisha ubishi ila nina maswali: Huyo dada hakuwa na sehemu nzuri ya kubugia vidonge "pendwa" hadi aingie chooni?Na je,kwa nini asingekuwa anamezea nyumbani kwake?Halafu,ilikuwa ni masharti ya daktari kwamba kila akutanapo na mtu wake ndipo ameze hizo "chipsi kavu za Magufuli"?
 
Forum statistics

Threads 1,284,194
Members 493,978
Posts 30,816,820
Top