Yaliyomsibu kaka yangu

Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
hizi mambo nilikutana nazo sana wakati nafanya kazi za ukimwi na zimesaidia sana kubadili tabia yangu unamuona demu mzuri kumbe yupo doziini. nilistuka zaidi nilipokuwa training iringa. watoto wazuri wa chuo ukiwapima imo dah nikawa najisemea huko chuo kitatokea nini kwa wazee wa viduku?
 
Nipe namba za huyo shemeji yako, Kuna msomi anataka mke

Ndiyo wata dukuliwa hivyo hivyo hakuna namna
 
Mara nyingi watumiao dawa hawawezi ambukiza.. shida iko kwa wale wasiojua status zao
 
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Hii sio chai kwel?
 
Hapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.
Pimaneni kabla ya tendo, inaweza saidia kuuepuka. Nisije nikakupoteza kaka yangu
 
Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe! Ukisema "YALIYOMSIBU' Unamaanisha majanga. Sasa hakupatwa na janga lolote kwasababu hakuhathirika.Ungesema labda. "kaka yangu ana bahati"
....angalau hata ungeandika KAKA YANGU APONEA CHUPUCHUPU ingeendana vizuri na post yako..
 
hizi mambo nilikutana nazo sana wakati nafanya kazi za ukimwi na zimesaidia sana kubadili tabia yangu unamuona demu mzuri kumbe yupo doziini. nilistuka zaidi nilipokuwa training iringa. watoto wazuri wa chuo ukiwapima imo dah nikawa najisemea huko chuo kitatokea nini kwa wazee wa viduku?
Wengi tunaangalia kwa nje tu basi na tunasahau hakuna guarantee ya afya!
Tunakutana tu siku 2 3 4 na tunatumia kigezo cha "huyu namuamini" then at the end, tunaanza kujuta wakat nafasi ya kua mwangalifu ilikuwepo!
 
Hapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.
Uaminifu unakujaje mkuu wakati mnaanza haya mambo kabla hata hamjafunga ndoa,mnamaliza kufanya kitendo na kila mtu anaenda kwake,na huko upande wa pili hamna anaemuona mwenzie anafanya nini,na kama mwanamke alikuwa na mtu wake anaendelea naye huku akisikilizia kuwa huenda unaweza kubadili mawazo ,na huyo mtu wake kwakuwa kasha muhisi bi dada ana kimtu kingine naye kaanza kugonga pembeni kwa siri,sasa hapo utaukosaje mkuu...!
 
Similar Discussions

49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom