hiyo siyo dawa ,dawa ni kupima tuNi zaidi ya miezi sita tangu yatokee, kaka amepima yuko salama lakini wanawake wa mitandaoni amenawa mikono. Sasa hivi anasema kheri awatokee work mates.
Rate ya Ukimwi hapa kwetu ndogo...mie nawashauri tuendelee kula raha tusiumize vichwa.Oooh hapo sawa. Tunapaswa kuwa makini sio mitandaoni tu bali hata huku mitaani maana tuliopo humu ndio hao hao tuliopo mitaani.
Taabu inakuja sasa eti watumia dawa hata akipimwa inaonyesha negative
Hapo ndio shughuli jamani, tutapona kweli.
Oooh hapo sawa. Tunapaswa kuwa makini sio mitandaoni tu bali hata huku mitaani maana tuliopo humu ndio hao hao tuliopo mitaani.
Taabu inakuja sasa eti watumia dawa hata akipimwa inaonyesha negative
Hapo ndio shughuli jamani, tutapona kweli.
Ahahahahh director wa hii chai, anatakiwa arudi tu shule.....maana kazi imemshinda!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae bwana ntakwambiaAchana na mada.. Me nishavurugika hapa.. Ntaifwatilia hata baadaye.
Yaani acha tu, hali ni mbaya.Labda tuhamie kwenye matango tuishi miaka mingi hahaha
Au tujitoe mhanga
Chagua moja
Sent using Jamii Forums mobile app
We usitutishe bwana.Ukimwi upo na unaua!
Watanzania ni wanfiki sana,hapa wanajifanya wameguswa but serikali imegharamia chanjo ya hepatitis B hawataki kwenda kuchanja.safari yetu ni ndefu sanaKama jamaa alivyosema hapo juu. Kama huna HIV inatisha mkuu
Ahahahah we cheka tu. Sasa hivi OMO ya director itatuhusu...chonde chote usije nitenga!!
Sent using Jamii Forums mobile app






Yaani wewe nikikuangalia tu nauona UKIMWI kabisaaaaa.Rate ya Ukimwi hapa kwetu ndogo...mie nawashauri tuendelee kula raha tusiumize vichwa.
Tujisahaulishe kabisa kama Ukimwi upo...mfano wewe utanipenda kweli lile pendo la kwanza kama ukiniona tu unaona Ukimwi??
Mkuu jaribu kuvaa Viatu vya huyo jamaa je wew ungeweza unajua kabisa bibie kaungua ni zaidi ya kuvaa bomuIts not a miracle case, waathirika waliokwenye matumiz mazuri ya arvs (nasisitiza matumiz mazuri) huwa hawaambukizi maana akiweza kumaintain concentration ya dawa mwilin kwa kuzingatia kumeza dawa kwa wakat idadi ya virus kwny damu yake inashuka to almost zero (less than detectable level) kwa hali hii hawez ambukiza kirahis...
Ndio maana siku hz kuna couples kadhaa mmoja ni muathirika na mwingne sio muathirika lkn na wanapata mtoto asiye na maambukiz (hii inamaanisha wanasex bila condoms lkn hawaambukizan)
Na maisha yanaendelea kama kawa...
Nadhan broo angepata mshauri mzuri asingeachana na huyo bibie bali wangepewa ushauri namna ya kuish bila kuambukizana...
Ukimwi unasambazwa na waathirika wasiojijua kama wameathirika hvyo hawatumii dawa kabisa na ambao hawazingatii dawa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu kumeza.Mkuu jaribu kuvaa Viatu vya huyo jamaa je wew ungeweza unajua kabisa bibie kaungua ni zaidi ya kuvaa bomu
Sikutishi auntie wangu!We usitutishe bwana.
Nilisikia akitaniwa kwa jina la fundi chupi
Kwanza hisia zitatoka wapi kwenye hilo tendo maana akili itakuwa upande wa najiuwa mwenyewe 😂😂😂Ngumu kumeza.
Ni zaidi ya miezi sita tangu yatokee, kaka amepima yuko salama lakini wanawake wa mitandaoni amenawa mikono. Sasa hivi anasema kheri awatokee work mates.