Yaliyomsibu kaka yangu

Yaliyomsibu kaka yangu

Bi dada ndio kaanza kujinyanyapaa mwenyewe, alitakiwa amweleze kuhusu hali yake na ni namna gani atamkinga. Hiyo ya kumeza dawa kisirisiri tunaweza kusema hakuwa na nia njema na kaka wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna formular angeweza kuachwa pia kwa kusema kabla. Kama hujaelimika kuhusu HIV isikie tu kwa watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ex darling kwahiyo abstaining umeikataa kabisaaa?
Siwezi kuacha kabisa ex darling, hapa ni kujitahidi kuacha utamu wa ex darling tu ili nibaki njia moja[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Msiwe mnaharakisha kufanya mapenzi na watu mlokutana nao mitandaoni..iwe jf,fb or enewea!
Kazania kwenda kupiga ,weka uwoga pembeni kwani huwezi jua unaweza kuwa ni mzima halafu mwenzio anano akakumaliza..kisa muoga wako

Niliyasema mimi nkatukanwa mimi
Aggy nawaambia kuweni makini vijana wenzangu,kuna wapuuzi hawajali u salama wa wenzao when it comes to mapenzi..nkageuka mtoto..
Na ntaendelea kuwa kimya na msimamo wangu...awamalize wote..panya wajuaji nyie!

Naona mmeanza kuniacha njia panda.
 
Bi dada ndio kaanza kujinyanyapaa mwenyewe, alitakiwa amweleze kuhusu hali yake na ni namna gani atamkinga. Hiyo ya kumeza dawa kisirisiri tunaweza kusema hakuwa na nia njema na kaka wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alijua asingemwambukiza maana anatumia dawa.
Weeeh yaani uniambie unao alafu nibaki!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Siwezi kuacha kabisa ex darling, hapa ni kujitahidi kuacha utamu wa ex darling tu ili nibaki njia moja[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Aiiii wewe sio vizuri, kwani mimi sitaki utamu?
 
Msiwe mnaharakisha kufanya mapenzi na watu mlokutana nao mitandaoni..iwe jf,fb or enewea!
Kazania kwenda kupiga ,weka uwoga pembeni kwani huwezi jua unaweza kuwa ni mzima halafu mwenzio anano akakumaliza..kisa muoga wako

Niliyasema mimi nkatukanwa mimi
Aggy nawaambia kuweni makini vijana wenzangu,kuna wapuuzi hawajali u salama wa wenzao when it comes to mapenzi..nkageuka mtoto..
Na ntaendelea kuwa kimya na msimamo wangu...awamalize wote..panya wajuaji nyie!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe wa mitandaoni tu ndio unawaogopa ila ulokutana nae kanisani unamwamini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom