Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Baada ya kukuona umeukomalia uzi nami ikabidi nijistukie.Mbona umejistukia.
Baada ya kukuona umeukomalia uzi nami ikabidi nijistukie.Mbona umejistukia.
Kama jamaa alivyosema hapo juu. Kama huna HIV inatisha mkuuUoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.
Tuuchukulie kama saratani.
Ukiwa nao unampigia mpenzi wako simu "baby nina Ukimwi".
Au unapotongozwa ukishakubali mwambie lakini nina Ukimwi.
Ujue sielewagi hii kitu aisee inatokea vipi?Hafwiiii mtu aunt yng aligundulika 1989 aliolewa 1992 na mumewe ni -Ve case na wamezaa watoto wawili 1997 na 2000 watoto wote ni -ve na aunt yuko vzr anafanya kaz za kuelimisha kwa waathirika na jamii kupitia NGO flan hv iko nchi za SADC
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ndio mimi utajuaje?Kwani dada mleta majanga unaushoga naye?
Kama hauna haitishi.Kama jamaa alivyosema hapo juu. Kama huna HIV inatisha mkuu
Kwani lazima niwe na vigezo kama vua huyo wa kwanza?Na wewe ni
-independent
-career
-utakubali two girls
Woman?
Kuna watu hayo mambo kwao sio big deal kabisa.-Kupotezewa wakati.
-Kudanganywa?
???
Usituambukizie vijana wadogo tu....ndiyo taifa la kesho.Labda ndio mimi utajuaje?
Hapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.






Its not a miracle case, waathirika waliokwenye matumiz mazuri ya arvs (nasisitiza matumiz mazuri) huwa hawaambukizi maana akiweza kumaintain concentration ya dawa mwilin kwa kuzingatia kumeza dawa kwa wakat idadi ya virus kwny damu yake inashuka to almost zero (less than detectable level) kwa hali hii hawez ambukiza kirahis...
Ndio maana siku hz kuna couples kadhaa mmoja ni muathirika na mwingne sio muathirika lkn na wanapata mtoto asiye na maambukiz (hii inamaanisha wanasex bila condoms lkn hawaambukizan)
Na maisha yanaendelea kama kawa...
Nadhan broo angepata mshauri mzuri asingeachana na huyo bibie bali wangepewa ushauri namna ya kuish bila kuambukizana...
Ukimwi unasambazwa na waathirika wasiojijua kama wameathirika hvyo hawatumii dawa kabisa na ambao hawazingatii dawa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kupitia hyo reply hapo juu unaweza kupata mwanga japo kifuchu
Wacha nitake care nasikiaga to storiUlikuwa hutake care?
Kapime kisha uanze kutake care.
We mapenzi ya dhati mbele ya ngwe ngweyeye amemuacha kisa ya kuwa anatumia dawa au alimuacha kisa nn?
mwenywe mapenzi ya kweli anaweza kuona mbali hizo pingamizi




Sasa unakuwa na Ukimwi na bado dependant??? Afadhali kifaduro kinavumilika.Kwani lazima niwe na vigezo kama vua huyo wa kwanza?
Huoni huyo wa kwanza kamuangusha, bora mie dependant.
Tehteteh...huyo atazimia kwanza.
Bi dada ndio kaanza kujinyanyapaa mwenyewe, alitakiwa amweleze kuhusu hali yake na ni namna gani atamkinga. Hiyo ya kumeza dawa kisirisiri tunaweza kusema hakuwa na nia njema na kaka wa watuNasikia anaetumia dawa hana tatizo. Mwambie kaka yako aache unyanyapaa![]()
Uoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.
Tuuchukulie kama saratani.
Ukiwa nao unampigia mpenzi wako simu "baby nina Ukimwi".
Au unapotongozwa ukishakubali mwambie lakini nina Ukimwi.

Haya fundi.Bi dada ndio kaanza kujinyanyapaa mwenyewe, alitakiwa amweleze kuhusu hali yake na ni namna gani atamkinga. Hiyo ya kumeza dawa kisirisiri tunaweza kusema hakuwa na nia njema na kaka wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteJaribu kupitia hyo reply hapo juu unaweza kupata mwanga japo kifuchu
Sent using Jamii Forums mobile app