Mmh Dada hii chai....kagera war imetokea 1978-79......halafu hiyo magazine inasema hizo death reported since 1981.... Amini hakuwa in power 1981..
We learn history to know the past, understand the present and plan for the better future.Mbona mnayaleta hapa leo?? Idi kishakufa, mtamfungulia mashitaka mfu? They say; The dead stay dumb!!!! Upo?? Sasa kwenda fukua majumba ya Iddi leo itatusaidia nini?? Nnani ataweza hata kutupa majina yao hao?? Tusifukue makaburiiii
Hii article haihusuani na picha, picha ilipigwa baada ya vita ya Kagera wakati majeshi ya Ukombozi yanaingia Kampala.Mmh Dada hii chai....kagera war imetokea 1978-79......halafu hiyo magazine inasema hizo death reported since 1981.... Amini hakuwa in power 1981..
Kama havihusiani it's okay...Hii article haihusuani na picha, picha ilipigwa baada ya vita ya Kagera wakati majeshi ya Ukombozi yanaingia Kampala.
Thanks but this comes at a time when our country is in turmoil of abduction and disappearance of fellow peoples. Don't yu think it can cause havoc??We learn history to know the past, understand the present and plan for the better future.
Chanzo?
View attachment 1304997
Basement ya safe house iliyotumika kama interrogation house wakati wa utawala wa Idd Amin.
We kibibi unataka kuleta Udini hapaChanzo?
Aisee hivi hizi bange za kubishana na hiatoria mnazivutia wapi.....kweli elimu muhimu sana..kwahiyo hata wanajeshi mahiri walipoenda mtoa nduli ukute haikua wa kitanzania....mitoto ya sikuhizi haijui hiatoria ndo maana inakua kama inabemendwa kussuport vya nje kuliko vya ndaniHawa wanazidi tu kumzushia marehwmu Iddi Amini...hilo jamaa lilikua straight saana na alikua mtu mwenye imani saana..lkn ukiona wayu wanavyo mchafua unaeza kusema Amini alikuwa ni mtu mnyama saana.
Hata vita vya kagera wanajeshi wetu walipigwa saana hadi kuchkua uamuzi wa kulipua daraja la mto kagera.lkn wanasema waganda ndio walio lipua hilo daraja..
Ukiona mtu anapakaziwa saana mambo mabaya ujue kuna kitu nyuma ya pazia
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo?We kibibi unataka kuleta Udini hapa